The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Yan hapo usiende na swaga za kutaka kumuoa..we kula ngumu tia mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia😂😂Tutampa Lipa namba [emoji3][emoji3]
Kumuona mbena mzuri ni kazi. Jamaa anapenda warembo kama wa dodoma au singida.Pole sana Mkuu. Fika Njombe utapata wabena wanzuri
Vyichwa vya kuku hao broh achana naoMbona unafikira mfu kuna watu hawajaoa na sio mashoga
Ukiona mwanamke wako hakuombi hela jua kuna mawili aidha hizo hela anazo au kuna mwingine anampa hizo pesa tofauti na ww.Inategemea tu,kuna wanawake wengine hawapendi Hela,Yani wana upendo tu wa kutoka mouoni,ila ni wachache sana
Unalo sema ni kweli wakati ww unaingia na gia ya kumuoa ,wenda yeye amesha ingia kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya 5 ambao nao waliingia kwa gia hiyo ya kuahidi kuoa akawaamini mwishowe baada ya kula mbususu wakamkimbia,kwa hiyo na ww ukienda kwa gia hiyo ni ngumu sana kukuamini anajua ndo wale wale.Kwani huwa unawaambiaje ukianza mtongozo mkuu?, isije kuwa unawaambia nataka nikuwowe, mmh wadada hatupendi na tunahisi una maslahi yako binafsi labda ule mbususu then ukimbie ndiyo unakuja na gia ya kuoa. Inabidi kuanza urafiki then after mambo ya kuoana tatakuja mbele ya safari. Badili strategy then utaona matokeo mwaka huu huu tunakula pilau
Hivi wote walioowa wana Hela?Una hela..??
Tuanzie hapo kwanza.
Na kama hauna hela, TAFUTA PESA u~single sio suluhisho la tatizo
Unamdalalia dadaako[emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana ni aina ya wanawake unaowataka wanafanania wa bongo movie. Nina dada yangu ana mtoto mmoja na ni kibonge mwepesi[emoji854]
Kama kaka yake ningependa apate mchumba unasemaje hapo. Kaka lazima apate shemeji.
Dada zako hutaki waolew?Unamdalalia dadaako[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli mkuu, ajaribu gia nyingine ataona mambo yanavyokua mazuriUnalo sema ni kweli wakati ww unaingia na gia ya kumuoa ,wenda yeye amesha ingia kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya 5 ambao nao waliingia kwa gia hiyo ya kuahidi kuoa akawaamini mwishowe baada ya kula mbususu wakamkimbia,kwa hiyo na ww ukienda kwa gia hiyo ni ngumu sana kukuamini anajua ndo wale wale.
Huo ukoloni huo!Nilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Kwa age kama 28+ kuendelea ukingia na gia hiyo mara nyingi hawachomoki.Kwani huwa unawaambiaje ukianza mtongozo mkuu?, isije kuwa unawaambia nataka nikuwowe, mmh wadada hatupendi na tunahisi una maslahi yako binafsi labda ule mbususu then ukimbie ndiyo unakuja na gia ya kuoa. Inabidi kuanza urafiki then after mambo ya kuoana tatakuja mbele ya safari. Badili strategy then utaona matokeo mwaka huu huu tunakula pilau
Ukiona umefika huku, jua akili yako yote unawaza mwanamke na kumweka mwanamke kimbaumbele chako kuliko maisha yako. Yaani, kwaujumla unakaa na kuwawaza jinsi wanavyokufikiri na wanavyofikiri maishani mwao hivyo akili yako imegeuka kuwaza wanawake tu naumesahau maisha yako. Acha, utateswa sana na kulia sana kwatatizo ambalo ukikaa ukiwa umeota mvi utajidharau sana. Mke ni muhimu ila umetengeneza fantasies za ajabu jinsi utakavyokuwa na raha ukiwa na mwanamke ila ukweli ni kwamba hayo sio realityNi ngumu kuamin lakin ndo uhalisia nowdays wanawake wapo selective sana
Sio wote ila hiyo ni alternative way na isiyoshindwaHivi wote walioowa wana Hela?
Tunaishi nao kwa kuwapa ahadi mwishowe tunazeekaHivi wote walioowa wana Hela?