Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Kama kuna nyingine imebakia unaweza kunitumia mimi tadhari yaani iwe kama sadaka as you know this is Sunday [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetoa tu sadaka mkuu, ingawa roho inauma
 
Tena huyo dada bora asije tu.
Uliona thread ya yule mtu alifungua mada ya hivi kisha yule mwanamke akafika?
Yaani alimpiga picha kila tukio akatuwekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo utakuwa ni utoto, yasirini yanatakiwa yabaki sirini
 
Tena huyo dada bora asije tu.
Uliona thread ya yule mtu alifungua mada ya hivi kisha yule mwanamke akafika?
Yaani alimpiga picha kila tukio akatuwekea[emoji23][emoji23][emoji23]
😃😃😃hizi sim za macho matatu nzuri kwa kulia nauli za watu na pia ni janga pale utakapoonekana live ni tofauti.,

😄 ila yule hakufanya poa yaani 😄😄😄😄 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
😄wakati mnagaiana hela ulituomba tukuombee 😄😄

endelea kutesekea pande hizo baada ya kumtumia nauli mwanaume mwenzio😄😄😏😏😏😏😏😏😏😏😏
ha ha ha unitakii mema mkuu
 
Back
Top Bottom