Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Tena huyo dada bora asije tu.
Uliona thread ya yule mtu alifungua mada ya hivi kisha yule mwanamke akafika?
Yaani alimpiga picha kila tukio akatuwekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Pls naomba uni tag kwenye huo uzi
 
Hahahahaha pole mkuu !! Amekutumia msg gani saivi whatsapp na hujajibu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom