Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Hiiii imenikuta leo, pisi tumeelewana vizuri, kuja, mamaaaa yaan haiendani na viwango nilivyokusudia nimepiga kwa kujilazimisha kimoja nikasingizia kuna mgeni anakujaaa ikasepa ilaa kuanzia leo siendi mtandaoni kutafuta demu never
Ha ha ha ha hatari sana mkuu
 
Hiiii imenikuta leo, pisi tumeelewana vizuri, kuja, mamaaaa yaan haiendani na viwango nilivyokusudia nimepiga kwa kujilazimisha kimoja nikasingizia kuna mgeni anakujaaa ikasepa ilaa kuanzia leo siendi mtandaoni kutafuta demu never
Kuna watu wanasemaga papuchi ni papuchi..but trust me,nyingine kupiga hata goli mbili ni kazi kubwa sana.
 
Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura.

Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo.

Tatizo yeye anaishi mkoa tofauti na niliopo mimi; nikawa nimemjulisha wikiendi ijayo tuweze kuonana, na tukawa tumeafikiana. Sasa leo asubuhi, akawa amenijulisha anataka aje kuniona; mi nikaona sawa tu hakuna shida.

Akaomba nauli, nami nikamtumia mara mbili yake. Kilichonishtua zaidi, kuwa nauli imeliwa, alianza kuniambia nitume na hela ya mafuta fulani kwa ajili ya massage, yanagharimu 50,000; nikatafakari, nikamwambia tutayanunua huku huku ukishafika.

Baada ya hapo, nikipiga simu haipokelewi, meseji hazijibiwi, w/app hajibu. Imebidi ni hitimishe tu; nauli yangu imeliwa. Ingawa angekuja ningetumia zaidi pamoja na posho ya kwake, lakini kilichoniuma zaidi ni kutokuwa muaminifu.

Wakuu, nimfanyeje huyu mkulungwa?
Ukiwa Dar , mademu unaowapata mitandaoni wapo Mikoani.

Ukiwa mkoani,sio Pwani, mademu unaowapata mitandaoni wapo Dar.

This explains why kutuma nauli na kupigwa hakuishi.
 
Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura.

Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo.

Tatizo yeye anaishi mkoa tofauti na niliopo mimi; nikawa nimemjulisha wikiendi ijayo tuweze kuonana, na tukawa tumeafikiana. Sasa leo asubuhi, akawa amenijulisha anataka aje kuniona; mi nikaona sawa tu hakuna shida.

Akaomba nauli, nami nikamtumia mara mbili yake. Kilichonishtua zaidi, kuwa nauli imeliwa, alianza kuniambia nitume na hela ya mafuta fulani kwa ajili ya massage, yanagharimu 50,000; nikatafakari, nikamwambia tutayanunua huku huku ukishafika.

Baada ya hapo, nikipiga simu haipokelewi, meseji hazijibiwi, w/app hajibu. Imebidi ni hitimishe tu; nauli yangu imeliwa. Ingawa angekuja ningetumia zaidi pamoja na posho ya kwake, lakini kilichoniuma zaidi ni kutokuwa muaminifu.

Wakuu, nimfanyeje huyu mkulungwa?
Hiyo nauli ni km Shilingi ngapi??.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebwana filter zinaharibu kinyama juzi kuna jamaa yangu kaniomba nimaindikize akakutane na demu waliojuama mtandaonii akanionyeshaa tukaenda tulichokutana nacho sikuaminii mwamba aliishiwa pozii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Weka picha yake Mkuu.
 
Back
Top Bottom