Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ubahili 3:5-6 usitume nauli kwa mtu usiemjua hata Kama mmechati kwamiak mingi Kama hamjawahi onana face to face usitume.
Wewe mtu umemjulia Badoo unamtumia nauli seriously!
Unakua na uhakika gani kuwa picha zile ni zake? Kama Mimi tu nimefungua account Badoo kwa fake name nimechukua picha za jamaa mwingine toka Facebook Kama 20 ivi kwahiyo ukiperuzi unajua ndo Mimi kumbe walaa!. Halafu Kuna midume huwa inafungua account za kike kwaajili ya maboya Kama sisi.
Naongezea pia mstari wa 7-8 unasema
Mwanamke akiomba nauli mfate uje nae kabisa kwako akikataa usitume!