kwendaaa rita ndo nn! au litaWanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I
Sasa sisi tuna rasilimali ngapi hapa nchini ,hiyo sukari tu ni bei ,umeme bei hata maji ni bei.Sasa mafuta wanachimba wao mkuu utegemee bei iwe juu..? Hauwezi kuwa seriously. Nchi zetu za Africa zingekua na matumizi sahihi ya rasilimali zetu mfano hayo.mafuta yangeuzwa bei ndogo saana mchawi wa africa ni maviongozi yetu. Kila kitu mwekezaji ili mradi tu yapewe cha juu 10%
Kijana wa forex acha kuota mafanikio 😅😅Mngese ww unatoomwa nini
Wamechagua uhuru....wangeachana na mipango yao ya kumiliki makombora ya nyuklia Iran wangekuwa vizuri kiuchumi mara 1000 kuliko hapo walipo.
🤣🤣🤣 Acha zako hizoKijana wa forex acha kuota mafanikio
Ndio ila kikubwa ujue wanazalisha kilakitu kwaajili yao. Iran is made up for Iranians nimeipenda sana hii slogan yaoKwaiyo mafuta lita moja ni kama tshs 76
Safi sana
Nimeimiss Tehran
Ova
Tuli doc hapo nlikaaga miezi 3Bila shaka umekumbuka umangani, hahaha
Mkuu mbona wao wanasema wanairutubisha kwa ajili ya umeme hata mwezi mmoja nyuma yule mama boss wa CIA aliiambia hivyo bunge la US kabla ya mambo kubadilika?..wangeachana na mipango yao ya kumiliki makombora ya nyuklia Iran wangekuwa vizuri kiuchumi mara 1000 kuliko hapo walipo.
Uzuri mmoja ni kwamba watanzania ni watu wanaongoza kudanganywa kwa sababu hatuna utamaduni wa kujilidhisha na habari tunazopeanaWanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I
Viongozi wa bovu mkuu. Sana na mafuta wanasema nchin pia yapo ila hata siku ya kigundulika utasikia mwekezaji jua yashauzwaSasa sisi tuna rasilimali ngapi hapa nchini ,hiyo sukari tu ni bei ,umeme bei hata maji ni bei.
Tatizo lipo kwenye uongozi huu wa CCM hauna maono tena. Wanachowaza ni kuiba kura na kufisadi na kuteuana na kuteka na kunyamazisha wenye mawazo mbadala. Inasikitisha saana maji yapo kwemye maziwa mito na bahari jumlisha vyanzo mbali mbali vya maji ila hatuna maji ya kutosheleza tu hata miji ya kila mkoa achana na vijijini.Sisi rasilimali tulizo nazo hapa nchini bado ni bei ghali kwa mwananchi. Mfano gas. Jibu utasema kwa sababu hatuna viwanda vya kuichakata kuwa yakupikia. Nadhani hicho kingekuwa kipaumbele kwanza.
Viongozi hawahusiki ila waafrika wenyewe vichwa butu.Viongozi wa bovu mkuu. Sana na mafuta wanasema nchin pia yapo ila hata siku ya kigundulika utasikia mwekezaji jua yashauzwa
Unajua km Turkey anapewa hela ya kula mwaka wa 7 huu?Europian Union wanalipa.Turkey ni nchi ambayo ni transcontinental, ipo Europe na pia ipo Asia/Middle East..
Aisee, kuna Wairan wanajiua huko wakiambiwa warudi kwao.Lina uhusiano ni nchi yenye maisha mazuri kuliko Tanzania. Sehemu yenye maisha nafuu na mazuri utaweka akiba ya fedha nyingi maana bidhaa siyo ghari.
Kuliko kwenda Ulaya au Marekani itakubidi uende Iran ukafanye kazi ukapate fedha za kutobolea bongo.
Kama utabisha basi ulaya ina maisha mazuri kuliko watu wa Iran, ukifanya kazi ulaya mwaka mmoja utaishi Iran miaka 10 bila kufanya kazi yoyote