Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwa hiyo umefurahi mwenzenu kuikimbia damu yake?🙄🙄Hahahah si mnapenda uongo, kuleni chuma iko!!! 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo umefurahi mwenzenu kuikimbia damu yake?🙄🙄Hahahah si mnapenda uongo, kuleni chuma iko!!! 🤣
Yani we ndio hueleweki. Si ulisema tunaobeba mimba za makapuku na wanywa gongo wasio na pesa sisi ni wapumbavu. Sasa umebadilika tena kiongozi?? Dah JF kuna wanaume kiboko kweli kweliElewa comment acha kuquote kwa mihemuko sio vizuri mkuu
Pole sana dada yangu, sio ajabu baada ya kujifungua Shem akarudi tena, asee wanaume wenzangu acheni kichaa, unatelekeza damu yako? Nyoka pamoja na ubaya wake wote hajawahi kutelekeza mtoto😢Watu wa Mungu mpoo?
Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine.
Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano ambayo yalikuwa siriazi kidogo.
Baada ya muda tukapanga mipango ya kuanza mikakati ya kufunga ndoa. Na wakati huo huo ujauzito ukawa umeingia kwangu. Sasa tangu nilipomwambia yule mwanaume kuwa nina ujauzito aliniblock simu na namba zote mawasiliano hakuna. Hadi leo amenitelekezea ujauzito. Alichoniambia mara ya mwisho kabla hajanikimbia ni "wewe ulivyobeba ujauzito si ulijua unabeba ujauzito na sina pesa za kukutunza" kwa maana hiyo nipambane na hali yangu mwenyewe.
Kiukweli maisha kwangu yamekuwa magumu maana ujauzito umefikisha miezi saba na siwezi kufanya kazi nilokuwa nafanya hapo mwanzo. Daktari alinisahuri niachane nayo maana ni kazi ya kusimama zaidi ya masaa saba endapo nitapata wateja mfululizo.
Me nimeleta hili janga lilonipata ili tuendelee kuwa makini humu. Tusikurupukie watu sio wote ni wazuri kama tunavyodhani
Pia nimekuja kuomba kwa yeyote anayeweza kuniajiri kwa kazi yoyote ambayo sio ya kusimama muda mrefu kwa muda wa miezi hii mitatu ya mwishoni nina uhitaji wa kazi ili walao nipate pesa kwa ajili ya kujifungua maana sina msaada wowote wa kifedha wala vifaa vya kujifungulia. Sina matatizo yoyote ya afya hadi sasa yatakayonifanya nishindwe kuhuduria kwenye kazi hiyo nitakayoipata.
Kwa vigezo mimi ni mhitimu wa elimu ya kidato cha sita najua lugha ya kiswahili na kiingereza pia ninajua kutumia komputa vizuri. Naahidi kwamba atakaeniajiri hatajuta licha ya kuwa mimi ni mjamzito.
Mungu awabariki sana.
Yani rafiki yangu huku ukiKwa hiyo umefurahi mwenzenu kuikimbia damu yake?🙄🙄
natafuta kazi wangu. AsanteNipe namba yako inbox nitakuliwaza hata kwa maneno tu
Usinizeeshe bila sababu banaa aaa. We kama una koneksheni ya kazi naomba unikonekti hilo ndio lengo la uzi huu bwana Daktati... ni utani tu kkkkkkkkkFaraja zipogo kwa wafiwa na watoto mkuu.
Watu wazima hamnaga hilo jambo tena huyu amekaa kama mmama hivi...
Usiamini amini kila kitu mkuu, utaja pigwa za uso hii thread haijakamilika....Pole sana dada yangu, sio ajabu baada ya kujifungua Shem akarudi tena, asee wanaume wenzangu acheni kichaa, unatelekeza damu yako? Nyoka pamoja na ubaya wake wote hajawahi kutelekeza mtoto😢
🤣🤣🤣🤣 Kuna mtu anaenda kuliwa hapa daaahNipe namba yako inbox nitakuliwaza hata kwa maneno tu
Inamana anadanganya?Usiamini amini kila kitu mkuu, utaja pigwa za uso hii thread haijakamilika....
Loop holes za kutosha zimo humo
Umeonaa mafisii kama.haoo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Yani mtu anajielezwa katelekezwaa hapaaa wanataka wamkulee tenaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna mtu anaenda kuliwa hapa daaah
Hatakama ni ukweli huu uzi umekaa (kitoto+kiuongo+ki unafki) sanaInamana anadanganya?
🙏🙏Wapo wengi waliozaliwa na Baba zao walikataa mimbaaa watoto wakafikaa mbalii tuu.. Angeweza kuitoaa ilaa kwa kuwa kaamua kuitunza na kaja kuomba kazi nadhani Hupaswi kumhukumu maana jamaa kakimbia mimbaa ukute sio kwamba hana uwezoooo pengine Jamaaa kaoa kabisaa ana mkee mahali ukoo maana wanaume tukitaka Uchii tunasema uongoo woteeee... Simlaumu huyu mwanamkeee kabisaa Akaze moyoo ajipambanie na mwanaeeeee na pia iwe funzo kwakee asirudie.
Pole sana.nadhani unekuwa funzo kwa wanawake wenzako wanao tegemeaga kwamba ukipata ujauzito basi umepata pa kumkamatia mwanaume.Watu wa Mungu mpoo?
Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine.
Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano ambayo yalikuwa siriazi kidogo.
Baada ya muda tukapanga mipango ya kuanza mikakati ya kufunga ndoa. Na wakati huo huo ujauzito ukawa umeingia kwangu. Sasa tangu nilipomwambia yule mwanaume kuwa nina ujauzito aliniblock simu na namba zote mawasiliano hakuna. Hadi leo amenitelekezea ujauzito. Alichoniambia mara ya mwisho kabla hajanikimbia ni "wewe ulivyobeba ujauzito si ulijua unabeba ujauzito na sina pesa za kukutunza" kwa maana hiyo nipambane na hali yangu mwenyewe.
Kiukweli maisha kwangu yamekuwa magumu maana ujauzito umefikisha miezi saba na siwezi kufanya kazi nilokuwa nafanya hapo mwanzo. Daktari alinisahuri niachane nayo maana ni kazi ya kusimama zaidi ya masaa saba endapo nitapata wateja mfululizo.
Me nimeleta hili janga lilonipata ili tuendelee kuwa makini humu. Tusikurupukie watu sio wote ni wazuri kama tunavyodhani
Pia nimekuja kuomba kwa yeyote anayeweza kuniajiri kwa kazi yoyote ambayo sio ya kusimama muda mrefu kwa muda wa miezi hii mitatu ya mwishoni nina uhitaji wa kazi ili walao nipate pesa kwa ajili ya kujifungua maana sina msaada wowote wa kifedha wala vifaa vya kujifungulia. Sina matatizo yoyote ya afya hadi sasa yatakayonifanya nishindwe kuhuduria kwenye kazi hiyo nitakayoipata.
Kwa vigezo mimi ni mhitimu wa elimu ya kidato cha sita najua lugha ya kiswahili na kiingereza pia ninajua kutumia komputa vizuri. Naahidi kwamba atakaeniajiri hatajuta licha ya kuwa mimi ni mjamzito.
Mungu awabariki sana.
Sasa mtu anaomba connection ya kaz sasa uongo ni upi tenaaa.Hatakama ni ukweli huu uzi umekaa (kitoto+kiuongo+ki unafki) sana
Kwani bado hujamgundua mtuhumiwa Mr why. Watuhumiwa huwa wana tabia ya kujishuku shuku. Kama una koneksheni ya kazi naomba unikonekti wangu achana na huyo Penseli ana mihemko hata simuelewi. Amekomaa na hii thread yangu utazani yeye ndiye mtelekezaj..... hahahaaa am just jokingInamana anadanganya?
Asante sanaPole sana.nadhani unekuwa funzo kwa wanawake wenzako wanao tegemeaga kwamba ukipata ujauzito basi umepata pa kumkamatia mwanaume.
Kwa usilolijua, mwanaume kama hakupanga kupata mtoto,ukimwambia una mimba unakuwa umemchefua tu ze maximum.ustaarabu wake wote huondoka na atakakushangaza
Ni vizuri wanawake msiwe na haraka ya maisha.jitahidi muqe mbafunga ndoa takatifu.
Wewe kichwani umebeba peremende,Mimi hata sikuonei huruma... Nyie wanawake mashetan sana si bure hata hii adithi umeitunga na hata kama ni kweli haituhusu... Mwanaume na akili zake timamu akufanyie hvyo kwanin..? Lazima utakuwa una matatizo sio bure..? Yaani nyie wanawake mkitaka misaada mnaona njia nzuri ni kusingizia wanaume... Sister nakushauri muombe mungu wako akupambanie hakuna namna... Tatzo mnapenda kuparamia wanaume wa watu nina uhakika umepora wanaume za watu sasa malipo ni hapahapa duniani yamekukuta zamu yako sasa... Eti unasema una watahadharisha wenzako hivi unadhan nyie mnajitambua basi? Sasa hivi kuna wenzako wanakucheka tu wapo inbox wanajibebisha kwa wanaume wa watu humu JF IG FB Twtr...
Wanaume ni watu wazuri sana ukiishi nao kwa heshima ila ni mbwa 😂 (kama mnavyotuita) kama ukionyesha dharau kiburi na jeuri... KARMA is Real ✌️ am out
Amina asanteWewe kichwani umebeba peremende,
NA WOTE WALIO KUPA LIKES
Wana vichwa kama samaki aina ya Perege,
Mtoa mada na wewe Ulikurupua, sisi tunachangamsha genge kumbe mnatongozana humu..
Kubeba ujauzito nje ya Ndoa ni uzembe na zinaa, Hakuna namna unaweza halalisha hilo..
Mimi ninachokuombea ni upate tuu mishe kwa ajili Ya mtoto basiii.
Huu uzi hamna mwenye afadhari.
Rubish kabisa
zaidi ya alichofanyiwa nothing new.🤣🤣🤣🤣 Kuna mtu anaenda kuliwa hapa daaah