Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi siyo saizi yetu kwenye ulimwengu wa Elimu.Ukweli India imetuzidi kila kitu ndiyo maana wakaamua wajenge shule inayofuata mtaala wao.kama sisi tungekuwa tuna mtaala mzuri hats wao wasingehangaika kuanzisha shule kama hizo.wagonjwa wengi wa tz ambao madaktari wa kibongo hushindwa kutibu huwapa rufaa kwenda India.operation kubwa kubwa zinazofanyika Muhimbili lazima utawakuta wanashilikiana na wahindi.kama unapesa ya kutosha peleka mwanao akasome shule za aina hizo.kiongozi gani mkubwa tz ambaye mwanae anasoma.shule ya serikali?jibu Hamna maana wanajua huu mtaala wetu ni majanga.
[emoji23]Ndio kama ilivo british school
😂😂😂😂Nimecheka na Yale maeneo yamejaa wasomali Jamani khaaSabasaba kwa wasomali
Moja ya strategies za wahindi (India) ni kuexport utaalamu hasa katika maeneo ya IT. Hivyo huwa wanawapa kiwango cha juu cha elimu watoto wao ili waweze kushindana kimataifa na kushinda kwenye positions mbali mbali.Kwenye top position kwa US ukilinganisha indians na africans indians ni wengi
Mkuu tukatae tukubali wahindi wametutangulia kwa mfano pamoja na kuwa US kwa mfano kuna wahamiaji kutoka afrika wengi lakini si wengi wapo kwenye nafasi za juu kwenye MNC na International org. hapa nazungumzia mfano Google unamkuta Sundar Pichai, Nenda Pepsico kuna yule mmama wa kihindi, nenda USAID alikuwepo Rajiv, Nenda IMF napo kuna muhindi yule lecture wa harvard, Harvard kuna course inaitwa financial engineering aisee wamejaa wahindi, mkuu wa dep inayotoa hiyo course ni mhindi tena wale black, kwenye engineering, IT, medical, bness wamejaa tena wale vipanga wa kufa mtu.
Habari wadau.
Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.
Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.
Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu. Yaani shule nzima kuanzia wanafunzi mpaka walimu ni wahindi tupu. Sikuona mwanafunzi mweusi hata mmoja.
Ada yake kwanza ni around milioni 10 kwa mwaka bila usafiri ( hiyo chekechea tu na msingi madarasa ya chini). Na sylabus inayofundishwa ni ya India. Yaani mitihani wanayofanya hapo wanapomaliza ni mtihani wa taifa wa india. Ni sawa kuwe na shule inayoitwa Tanzanian school ijengwe india ama marekani then necta wawe wanapeleka mitihani yao ile ile inayofanywa na shule zote Tanzania.
Mazingira ya shule ni mazuri sana na hata macho yanatambua kwamba shule ni quality ya juu.
Maelezo yao ni kwamba shule hii imejengwa hapa dar es salaam sababu ya kusaidia indian expart wanaokuja na familia zao wasipate shida pa kusomesha watoto. Na mtaala wameweka wa india sababu ndio wameuzoea.
Nikawaza je wa Tanzania ama Serikali ya Tanzania tuna uwezo wa kuweka shule yetu ya necta nje ya Tanzania. Na mitihani tukawa tunawapelekea
Kwa nini nasema wametuzidi akili ?
Nasema wametuzidi akili sababu Kwenye hilo Jambo kuhusu elimu yao walilolifanya! Yaani kuweka mazingira ya kizazi chao kiendelee kupata Yale ya nchini kwao hali yakuwa wako nchi nyingine..
Sioni kwa kufanya hivo wametuzidi akili kivipi... wahindi nimefanya nao kazi sana..
Nikuhakikishie tu kwamba wengi wao pia ni vilaza. Ila pia kama kawaida kuna vipanga.
Walichotuzidi zaidi ni English tu... ila kwingine tupo level... naongea hivi nikiwa nimesoma mtaala wa elimu wa kitanzania kuanzia vidudu
Kwanini Wahindi wawe wengi kwenye kufanya kazi nchi zingine ikiwemo hapa Tanzania? Na kwa nini Watanzania ni wachche wanaofanya kazi huko nje?Tanzania hatufanyi hivo ndio kwa sababu hatuna sababu ya kufanya hivo kwa sababu hatuna expatriate wengi wa kitanzania wanaofanya kazi nje ukilinganisha na wahindi....
Kwahiyo wahindi kuwa na shule yao hapa sioni kama ni kipimo haswa cha akili..
Mimi hata hiyo English hawajanizidi. Wabovu sana hata kingereza hawajuiSioni kwa kufanya hivo wametuzidi akili kivipi... wahindi nimefanya nao kazi sana..
Nikuhakikishie tu kwamba wengi wao pia ni vilaza. Ila pia kama kawaida kuna vipanga.
Walichotuzidi zaidi ni English tu... ila kwingine tupo level... naongea hivi nikiwa nimesoma mtaala wa elimu wa kitanzania kuanzia vidudu
Wamemzidi mwenyewe akiliKwa andiko lako ni kipi kinachoonyesha wahindi wamewazidi akili?
Wataje basi mkuu maana mwenzio kaweka majina na taasisi kabisa ili nasi tujifunzeKuna waafrika kibao kwenye hayo makampuni na taasisi kubwa tatizo ni kwamba hatupendi ku-appreciate vya kwetu.
Haina tofauti na IST au ISM. Labda kilicho kushangaza ni kuwa ya India badala ua UK au USA!Habari wadau.
Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.
Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.
Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu. Yaani shule nzima kuanzia wanafunzi mpaka walimu ni wahindi tupu. Sikuona mwanafunzi mweusi hata mmoja.
Ada yake kwanza ni around milioni 10 kwa mwaka bila usafiri ( hiyo chekechea tu na msingi madarasa ya chini). Na sylabus inayofundishwa ni ya India. Yaani mitihani wanayofanya hapo wanapomaliza ni mtihani wa taifa wa india. Ni sawa kuwe na shule inayoitwa Tanzanian school ijengwe india ama marekani then necta wawe wanapeleka mitihani yao ile ile inayofanywa na shule zote Tanzania.
Mazingira ya shule ni mazuri sana na hata macho yanatambua kwamba shule ni quality ya juu.
Maelezo yao ni kwamba shule hii imejengwa hapa dar es salaam sababu ya kusaidia indian expart wanaokuja na familia zao wasipate shida pa kusomesha watoto. Na mtaala wameweka wa india sababu ndio wameuzoea.
Nikawaza je wa Tanzania ama Serikali ya Tanzania tuna uwezo wa kuweka shule yetu ya necta nje ya Tanzania. Na mitihani tukawa tunawapelekea
Kwa nini nasema wametuzidi akili ?
Nasema wametuzidi akili sababu Kwenye hilo Jambo kuhusu elimu yao walilolifanya! Yaani kuweka mazingira ya kizazi chao kiendelee kupata Yale ya nchini kwao hali yakuwa wako nchi nyingine..
Kiongozi kuna vitu vingine ni kuviacha tu ..Habari wadau.

Ni akili gani unazungumzia ndugu yangu Mushi? Kwa sababu Tanzania kwetu kitu tunachoita ''akili'' pengine ni tofauti katika na akili za mataifa mengine kwani ''akili'' zetu hazionyeshi matunda yoyote. Unaona kama hilo la kuanzisha shule yao yenye elimu ya kiwango cha juu wewe sisi tunaweza tukaona siyo akili lakini mimi nikumbie kitu: hakuna kitu kigumu kama kuji-organize na kufanya kitu chenye manufaa kama hicho. Sisi tumeweza nini kama tuna akili? Mbona hata kuendesha nchi tu imetushinda?Sioni kwa kufanya hivo wametuzidi akili kivipi... wahindi nimefanya nao kazi sana..