Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.
Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Ulivoniuliza hili Swali imebidi niangalie account yako ni ya lini.
Imeundwa septemba 5, 2025, uchangiaji wako una pattern ya aina fulani very interesting.
Kuna mambo makuu mawili kukuhusu,.
1. Una kazi ya kukusanya taarifa/maoni na pengine kuwahusisha watu fulani na maandamano na matukio yatakayo ambatana na Maandamano, kama ni askari basi unahusisha tukio la mwendo kasi kama moja ya mipango ya kundi linaloratibu maandamano na mnataka kujua watu wanaoweza kuwa na uhusiano nao hapa mitandaoni.
2. Unataka matukio haya yatokee, ila bado huna uhakika utashirikiana na nani kufanikisha hilo.
Mwisho ni hivi wananchi wakitoka hakuna kitu watazuiwa kufanya
Kuna Polisi aliniambia anachoogopa yeye na wenzie ni kuwa Askari akiua raia, Raia nao watamtafuta mtoto, mke au ndugu yake huyo Polisi watamuua...hata kama hana hatia na ukumbuke Raia ni wengi sana
Itakuwa vita na vita ni mbaya sana Wakuu na Polisi wanachoogopa ni hicho
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu.
Your browser is not able to display this video.
Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,
“Niwaombe, wamesema wengine hapa, siku ile ya kupiga kura tarehe 29, kila aliyejiandikisha ahakikishe anakwenda kupiga kuna na kama ataamka mgonjwa atoe taarifa kwa mjume wa eneo lake afanyiwe mipango...

Democracy ina mipaka bro, yaani watu hawawezi kuachiwa wafanye vitu vya hovyo kujificha kwenye kichaka cha democracy, pesa ya umma inatumika kufanya maigizo