Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Wewe mzee Umeanza tena porojo zako
Yaani huyu jamaa anakusumbua kichwa? Huyo ni Kiongozi wa Ma "narcissit". Mtu kama huyu kuishi naye kwenye jamii ni tabu sana!

Kwamba yeye yupo tofauti na binaadamu wengine na ana upeo mkubwa kuliko watu wote Kumbe ni kubwa jinga tu linaloosha makalio ya wazungu huko.
 
Kwa nini mnataka kulazimisha watu wafanye mnavyotaka nyie?
Mbona haki ya Mgonjwa kupumzika inaagizwa kuminyinywa siku hiyo kwamba lazima ashiriki!!! Haki ni kwa "wapanda basi tu ". Au aliyeagiza haki ya Mgonjwa iminywe sikumuelewa vizuri. Haki ni haki kikubwa inakidha viwango vya kisheria na ustaarabu.

Karibu kwa kuniparura! Najua hutaniacha salama
 
Wanaume wa Arusha midebwedo ss hivi nao wanahitaji ukombozi..!!
 
Hivi vitisho au hadaa zilishapita yaani ujaribu kujirusha juu ya ghorofa uone kama utavunjika au kufa
 
Watapiga kura na kutimiza haki yao yakifanyika marekebisho.

Halafu kiranga usijifanye km nchi hii huifahamu na aina ya viongozi wake.

Hivi unategemea uchaguzi ukipita kuna marekebisho yatafanyika? Ni mara ngapi wanakuja na danganya toto?

Mimi naona wote tukutane tar 29 kila mmoja apiganie anachokitaka, kwanza kuna vitu vingi vya kurekebisha. Kisha baada ya hapo tutajua.
Na hiyo siku imekaa vizuri wananchi wote kudai kile wanachokitaka, wanaotaka kupiga kura waende na wanaotaka mabadiliko waende..!!

Na wao kwanini walazimishe kujipigia kura bila kufanya marekebisho wanavyotaka wao?
 
Una weza kutoka kweli kwenda road
 
Hivi vitisho au hadaa zilishapita yaani ujaribu kujirusha juu ya ghorofa uone kama utavunjika au kufa
Uhuru wa kuwaza na kisha kutoa mawazo hayo hadharani ni Muhimu sana. Nakuhakikishia, wapo wanayoweza kujirusha kutoka ghorofani lenye flats 200 wakiwa na uhakika chini Kuna godoro lenye kimo cha MITA hamsini!! Ni uamuzi kukubali ama kukataa uwezekano huo.
 
Police walkua wanapiga risasi juu na watz waliodharauliwa wakasema tuueni hakuna aliyekimbia

Ss endeleeni kujidanganya kuwa watz hawawezi,ogopa mtu aliyechoka hana cha kupoteza wakati nyie wachache mnachezea pesa
 
Nina support sana maandamano.
Shida kwa upande wangu japo tunaishi mkoani, baba yangu ni polisi na ni mtu mwema tu, huku watu wengi wanampenda kwa sababu ni rafiki wa kila mtu
Lakini maandamano huku si rahisi kutokea, maandamano yanaweza kuzidi Dar halafu wakamu allocate huko mzee wangu aje kusaidia, na watu hawamjui hata watamchukulia tu kama polisi wengine
Wanaweza kumuua, hii kitu inanipa hofu sana, sipo tayari kupoteza mzazi kabisa. Napata shida nisupport maandamano au nisi support. Niko njia panda, sijui kipi sahihi
 
Mabugati ya kina Abdul, Angela Kizigha na Lugumi yatajenga miundombinu mipya.
 
Hayo ndo maigizo sasa .... rai yangu wala sio sheria sioni maana ya kupiga kura sababu hapo ndo kiburi cha viongozi kilipo nguvu kubwa ,rasilimali kubwa imetumika kuonyesha kwamba hii njia ya uchaguzi ndo haki kumbe ni kiini macho haijaanza leo ,wala jana tena wanahadi kifungu chao kwamba raisi akichaguliwa na kutangazwa na tume matokeo hatapingwi siwezi shauri mtu aende akapige kura sababu hata hao kina madeleka,zito,moza bado ni viini macho .....katika hili tukubaliane kutokukubaliana hatuwezi fanana kimawazo
 
Sio Rais Mwanamke na asiye na mizizi ya kisiasa. Shida iko kwenye utendaji wake mpaka sasa. Hakuna anachofanya zaidi tunaona ufisadi uliokithiri ukiendelea. Kila sehemu panahemea juu juu. Hana anachokiweza. Shida hapo si jinsia, uzoefu wala Uislam wake.
 
Namba ya Polisi ni ndogo mno ukilinganisha na idadi ya wananchi hapa nchini.
ikitokea kwamba wananchi wamesala kabisa
askari mmoja atapigwa na wananchi zaidi ya 100
fikiria huyo askari atakuwa na hali gani.
wananchi wana mawe, mipini ya jembe, panga, visu, sime, mikuki, majambia, n.k
 
Wananchi wagombee magari uchwara ya mwendokasi huku wao na watoto wao wanamejaza maBentley kwenye yards zao. Ndani ya Mwendokasi watu wamejazanaaa, bado hayafiki on time vituoni. Hovyo hovyo tu. Hela zote za kodi za hao wananchi wanagawana. Yani Samia amejua kutuonyesha rangi zake halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…