Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Kiranga sikiliza mazee.

Human rights are interdependent. They don't exist in isolation of one another. Violation of the right to life can have a repo effect or a negative domino on other basic rights such as right to vote and freedom of conscious.

We are going to demonstrate and protest First, to consolidate our basic right of Living as Descent Human Beings. Our sacred right which has currently been under vicious siege of this inept and corrupt regime.

And, Second we are going to protest because this inept and corrupt government has lost its legitimacy to foster a decent political process. People cannot participate in a sham political process and claim to have their political rights fulfilled by the very government they want to vote out.

Under current circumstances, those who'll go out to vote on 29th, October will be deemed complicit of CCM's crimes and will be surely be smitten. We find any fool trying to vote on that day, we'll know he's trying to sanitize this wicked government.

Such fools whose folly is so intentional can never find clemency, mercy or grace at the spree of my rage.

Wakiumizwa Wameyataka Wenyewe.​
 

Nikuparure kwa kisa gani?

What is your point? Nani kaagiza mgonjwa asipumzike siku hiyo?

Kupiga au kutopiga kura zote ni haki za kikatiba na kibinadamu.

Hakuna sharti la kupiga au kutopiga kura.

Ndiyo maana usipopiga kura hakuna atakayekushitaki.
 
Hujaelewa somo.

Hayo ni maoni yako.

Demokrasia haiishii katika maoni yako. Bila kujali kama maoni yako yako sawa au hayako sawa.

Watu wengine pia wana haki ya kufanya wanachotaka ndani ya mfumo wa demokrasia.

Na kama wameamua kupiga kura, bila kujali maoni yako, wana haki ya kupiga kura.

Na wewe huna haki ya kuwanyima haki yao hiyo ya kupiga kura.

Huelewi wapi?
 
Huna haki ya kuwapangia watapiga kura lini.

This has nothing to do with nchi ilivyo na viongozi wake, that is a moot point, pointless.

This has to do with democracy, wengine wana haki kama wewe. Wewe huna udikteta wa kuwapangia wengine haki zao.

Ukitoka tarehe 29 kuandamana na kuvuruga uchaguzi utapigwa tu. Na itakuwa vigumu sana kukutetea kwamba wewe si mfanya vurugu uliyetaka kuharibu uchaguzi tu.

Mnawapa CCM sababu ya kuwapiga, kuwaua na kusema nyie ni watu mnaoleta vurugu kwenye uchaguzi baada ya kushindwa kuwashawishi watu wasipige kura.
 
Yote hayo nayajua na mimi si mwana CCM na nakubaliana nawe.

Lakini yote hayo hayabadilishi ukweli kuwa katika demokrasia watu wote wana haki, hata watu waliokubali kupiga kura katika uchaguzi huu nao wana haki ya kupiga kura.

Bila kujali maneno yote uliyoandika, ambayo mimi na wewe tunakubaliana kabisa, bila kujali uchaguzi ni halali au si halali, wana haki hiyo ya kupiga kura.

Mimi pia naona uchaguzi una mapungufu mengi sana, nina haki ya kukataa kupiga kura, in fact nilihama nchi kabisa baada ya kura yangu ya 1995 niliyompigia Mrema Dar kutupwa na uchaguzi kurudiwa, lakini sina haki ya kuwakataza wengine wasipige kura.

Hakuna mtu mwenye haki ya kumkataza mwingine asipige kura. Hiyo ni haki ya kikatiba na kibinadamu ambayo kila mtu anayo.

Demokrasia maana yake hata wewe ukuwa sawa na wengi wakiwa wamekosea, ukubali wale wengi wamekuzidi namba, uwaeleweshe polepole mpaka waelewe.

Usiwalazimishe wasipige kura.
 
Watu wameandamana jana wamepiga polisi wameharibu basi la mwendokasi, bila hata kuomba ruhusa.

Maandamano ni haki yako lakini huna haki ya kumzuia mwingine asipige kura, hiyo nayo ni haki yake.
 
Huo uchaguzi wenyewe usha nyima watu wengine haki zao
Uchaguzi umenyima watu wengine haki gani?

Kupiga na kutopiga kura katika uchaguzi zote ni haki.

Kutopiga kura katika uchaguzi kunaweza pia kutafsiriwa kuwa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na kura hiyo.
 
Watu wameandamana jana wamepiga polisi wameharibu basi la mwendokasi, bila hata kuomba ruhusa.

Maandamano ni haki yako lakini huna haki ya kumzuia mwingine asipige kura, hiyo nayo ni haki
Yale siyo maandamano zile ni asira za wananchi kwa sababu ya usumbufu wa usafiri
 
You are creating a false dichotomy that it is either you disrupt voting and get your rights or you don't and you don't get your rights.

There is no such dichotomy, this is a false dichotomy logical fallacy.

Ukitoka kuvuruga uchaguzi utapigwa na hata kuuawa, na utakuwa umeipa CCM sababu ya kusema imepiga na kuua wafanya vurugu kwenye uchaguzi.
 
Yale siyo maandamano zile ni asira za wananchi kwa sababu ya usumbufu wa usafiri
So what is your point?

Kwa vile hupewi haki na wewe uwanyime wengine haki ya kupiga kura?

Is this your point?
 
Na wao pia hawana haki ya kutupangia lini tuandamane, wote TUSIPANGIANE..
 
Na wao pia hawana haki ya kutupangia lini tuandamane, wote TUSIPANGIANE..
Toka uandamane siku yoyote.

Ukiwapa sababu ya kukupiga risasi siku ya uchaguzi kwa kusema umevuruga uchaguzi hiyo pia ni haki yako.
 
Jana tumefanya na hamna boya alietugusa polisi waoga sana wanaishia kupiga virisasi vyao yaani mwaka 2025 unamtisha mtu kumuua wamechelewa sana na inakula kwao
Ok. Fanyeni tena kitu hicho Oct. 29.
Ila msijisahaulishe kwamba wale walikuwa wanapigania maisha yao binafsi na sio maslahi ya mwanasiasa. Pia mjue ile jana walikuwa ni raia wa vyama vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…