GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,017
- 7,406
You are creating a false dichotomy that it is either you disrupt voting and get your rights or you don't and you don't get your rights.
There is no such dichotomy, this is a false dichotomy logical fallacy.
Ukitoka kuvuruga uchaguzi utapigwa na hata kuuawa, na utakuwa umeipa CCM sababu ya kusema imepiga na kuua wafanya vurugu kwenye uchaguzi.
Kaka kiranga kwani wewe unaumia nini na kuandamana tunaandamana sisi?!!Toka uandamane siku yoyote.
Ukiwapa sababu ya kukupiga risasi siku ya uchaguzi kwa kusema umevuruga uchaguzi hiyo pia ni haki yako.
Hapana.What are you talking about!
Human Rights Mechanisms are dichotomous. And its not my concoction, but an established fact philosophical fact. Its either you disrupt to get them or you don't.
Mimi nilihama nchi kabisa baada ya kura yangu kwa Mrema kutupwa na uchaguzi kurudiwa Dar mwaka 1995.Kaka kiranga kwani wewe unaumia nini na kuandamana tunaandamana sisi?!!
Wewe wahi kituoni kapiga kura katimize haki yako na sisi tuache tutimize haki yetu.
Ila tukikutana tunakubeba juu juu 😹😹😹
Kiranga nimemuwahi jamaniiii tuelewane..!! 😹
Idadi ya askari hawazidi hata laki moja, acha kututisha ewe kibaraka wa watawala.Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
😹😹😹 We mzee ujue unanichekesha, yani ulimpa kura yako Mrema? Seriously 🤣Mimi nilihama nchi kabisa baada ya kura yangu kwa Mrema kutupwa na uchaguzi kurudiwa Dar mwaka 1995.
Wewe nenda kaandamane uwanyime wengine haki zao mimi siumii nakwambia tu unaji contradict.
Demokrasia maana yake si wewe tu kupata haki zako, demokrasia ni pamoja na usiokubaliana nao na na wajinga unaoishi nao kupata haki zao pia.
Huelewi wapi?
😹😹😹 We mzee ujue unanichekesha, yani ulimpa kura yako Mrema? Seriously 🤣
Mimi sihami nchi nipo kuipagania reforms ili nipige kura kwa kiongozi ninayemtaka..!!
Demokrasia ni pamoja na kuandamana kupinga chaguzi za hovyo..!! Waweke reforms ili wote tushiriki uchaguzi usiwe wa kuteuana wenyewe..!!
Kesi ya nyani haiwezi kusuluhishwa na tumbili wote zafanana wala mahindi shambani…!!
Hata wewe unavokua kinganganizi yakwako ieleweke hueshimu democrasia unayo ihubiri hapaHujaelewa somo.
Hayo ni maoni yako.
Demokrasia haiishii katika maoni yako. Bila kujali kama maoni yako yako sawa au hayako sawa.
Watu wengine pia wana haki ya kufanya wanachotaka ndani ya mfumo wa demokrasia.
Na kama wameamua kupiga kura, bila kujali maoni yako, wana haki ya kupiga kura.
Na wewe huna haki ya kuwanyima haki yao hiyo ya kupiga kura.
Huelewi wapi?
Huenda atakuja na mgambo; sasa sijui kama mgambo nao siku hiyo watakuwa na mitutu ya bunduki!Kwa itojeshe kusema kwamba balozi siku iyo anaweza kunilazimisha nikapige kura 😂😂😂. Sema aje amejipanga kweli kwa maana atakuwa yupo kwangu na mm ndio nina mamlaka napo
Unataka wengine wawe na haki ya kuchagua wanachotaka au unataka wewe uwachagulie cha kufanya tu?Hata wewe unavokua kinganganizi yakwako ieleweke hueshimu democrasia unayo ihubiri hapa
Na mbona nilimalizia vizuri tukubaliane kutokukubaliana
Watu wanaosema wataenda kupiga kura waache waende wanaoingia barabarani pia waache na maamuzi yao unachokiubiri sio unachokitekeleza
Kama wanavyovunjika tu watu kwenye ajali za gari, ndio maana wanasema ajali haina kinga.Write your reply...jamaa kavunjika mguu kwenye fujo za jana pia ana nundu kisogoni yupo hapa zahanati ya msewe na mke wake analia tu hela hana jamaa winga kkoo
Mmeanza kuchachawa sio?Ni sahihi kabisa, ilipendeza maandamo iwe kabla au baada.
Ila kwa akili za wenye usimamizi wa vyombo vya ulinzi na usalama ndio wanaweza sababisha machafuko au kuumiza watu, maana kuna mtego upo mbele yao na kuutegua unahitaji akili na sio mabavu
WEngine kina nani nakati tunawasilisha mawazo yetu wawili hapa....chaguo langu nalifahamu je wewe wajua lakwako? Naamini unalijua baki kwenye mstari wakoUnataka wengine wawe na haki ya kuchagua wanachotaka au unataka wewe uwachagulie cha kufanya tu?
Je uwiano Ni polisi wawili kwa mtu mmoja?Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Hili ni moja ya malengo na mafanikio ya Maandamano.Hawawez kuzuia lakin wana uwezo wa kuua hilo nalo mkae mkilijua
Wengine wanaotaka kupiga na kupigiwa kura.WEngine kina nani nakati tunawasilisha mawazo yetu wawili hapa....chaguo langu nalifahamu je wewe wajua lakwako? Naamini unalijua baki kwenye mstari wako
Hata wikiwa laki 5 hawawezi kupambana na wananchi Milioni 60.Kuna intake mbili kama sio tatu zipo chuoni pale moshi
Saivi ni mwendo wa NepalKama unataka kuandamana, uwe imara, jiandae mana sio rahisi kama tunavyodhani, ni kujidhatiti kweli kweli kwa lolote, Zanzibar kwenye uchaguzi hata mkitembea watatu barabarani hilo ni Tatizo