Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

duh

Hivi walimu hawana interview ?? basi wanateleza sana huku Engineering huwa tunachukia interview sana
Walimu hata uwe na GPA ndogo zamani walikuwa wanapangiwa vituo vya kazi, so hyo ikawafanya Wana maliza degree hawajui hata kuandika barua ya application, na ukisema uwafanyie interview hupati mwalimu
 
Walimu hata uwe na GPA ndogo zamani walikuwa wanapangiwa vituo vya kazi, so hyo ikawafanya Wana maliza degree hawajui hata kuandika barua ya application, na ukisema uwafanyie interview hupati mwalimu
GPA ndogo ni ngapi hadi ngapi?
 
Mkuu kwenye ile tovuti kunawekwaga namba za Tamisemi..... Wasiliana nao
 
Pole sana kijana kwa matusi...ila ukitaka kubadilisha vyeti vyako ingia tu kweny account yako iwe kwa sim au PC ,kisha nanda kwenye education details kwa mbele utaona neno edit na delete... So utafuta kwanza then utaadd unachotaka kuafanya
 
Walimu hata uwe na GPA ndogo zamani walikuwa wanapangiwa vituo vya kazi, so hyo ikawafanya Wana maliza degree hawajui hata kuandika barua ya application, na ukisema uwafanyie interview hupati mwalimu
Vijana tunapenda kusikia tunachotaka kusikia, lakini si kila tunachotaka kusikia tunatakiwa kusikia. Na kuna muda ambao tunatakiwa tukubali kusikia tusichotaka kusikia.
 
Walimu hata uwe na GPA ndogo zamani walikuwa wanapangiwa vituo vya kazi, so hyo ikawafanya Wana maliza degree hawajui hata kuandika barua ya application, na ukisema uwafanyie interview hupati mwalimu
Kinacho tokea miaka hii ni matunda ya muda mrefu yaliyo pandwa kwenye mfumo wetu wa elimu. Unaruhusuje watu wenye div 4 waende kuwa walimu? Hawa ilifaa waende kwenye fani zingine huko.

Mwalimu aliyefeli in the first place atamfundisha mwanafunzi wake namna ya kufeli, kwa hiyo kwa miongo kadhaa tumekuwa tukizalisha wanafunzi 'waliofaulu kufeli'.
 
Ni kweli walimu wengi uelewa wao mdogo na Ni failure kisa waliajiriwa kuziba gap la upungufu wa waalimu matokeo yake na wao wanafundisha wanafunzi vitu wasivo competent navyo.
Serikali iongeze mishahara kada ya ualimu na wachaguliwe walio faulu vizuri Tena kupitia interview kali
 
Naombeni msaada wadau,

Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Nitafute nikusaidie
 
Nadhani kabla hamjamkosoa kwa kukosea ni vema kumsaidia. Mtu kasema aliyemsaidia kujaza alikosea then nyie mnaanza kumsema. Sio poa jamani.

Hiyo ishu inawezekana kwasababu nimeona wameweka na mfumo wa kuedit. Juzi kat kuna sister alikosea kuapload letter akaomba nimsaidie kubadiri. Haikuchukua hata muda kuiibadiri. Kwahiyo usiogope mkuu inawezekana

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa akili kubwaa eee!?!?
Reseve[emoji735]
Reserve[emoji818][emoji818]

Jifunze kusaidia sio kukosoa kila mtu hukosea, haikupunguzii kitu kumuelimisha mtu
Mbona na wewe umekosoa, hafu hyo typing error, Mimi nimekosoa wewe umgekuja kivingind basi
 
Back
Top Bottom