cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Walimu hata uwe na GPA ndogo zamani walikuwa wanapangiwa vituo vya kazi, so hyo ikawafanya Wana maliza degree hawajui hata kuandika barua ya application, na ukisema uwafanyie interview hupati mwalimuduh
Hivi walimu hawana interview ?? basi wanateleza sana huku Engineering huwa tunachukia interview sana