Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

Ngoja uwaponze wenzako hivi unajua Kuna mtu kabisa hata oongezewe damu yenye VVU hapati? Japo Ni wachache Sana lakini wapo. Kinga zao zinakuwa na udhaifu flani ndio pona Yao Sasa Kama ndio wewe?🤣
 
Tumia tu kwani kama ukipata HIV tunakubadilishia ziko nyingi kuna abacavir na ulikula ni first line bro sema side effect tu ndo shida kama neurotoxicity, nk
 
Carrier labda utakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…