Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

Hivi kumbe ukimwi upo na kunawatu mnawaza ukimwi khaaa ama kweli uzito wa jambo upo kwenye ufahamu wako kwa mimi sijawah kuamin kama kunaukimwi sijawai kutumia kondom na nimetembea na wanawake wenye ukimwi kuribu 22 na kupima mpaka mkewangu awe na ujauzito na sitaki kupima mwaka wa 25 huu toka nianze ngono na sina dalil yoyote nb:usimbake mwandae utakuja nishukuru
Ngoja uwaponze wenzako hivi unajua Kuna mtu kabisa hata oongezewe damu yenye VVU hapati? Japo Ni wachache Sana lakini wapo. Kinga zao zinakuwa na udhaifu flani ndio pona Yao Sasa Kama ndio wewe?🤣
 
Tumia tu kwani kama ukipata HIV tunakubadilishia ziko nyingi kuna abacavir na ulikula ni first line bro sema side effect tu ndo shida kama neurotoxicity, nk
 
Hivi kumbe ukimwi upo na kunawatu mnawaza ukimwi khaaa ama kweli uzito wa jambo upo kwenye ufahamu wako kwa mimi sijawah kuamin kama kunaukimwi sijawai kutumia kondom na nimetembea na wanawake wenye ukimwi kuribu 22 na kupima mpaka mkewangu awe na ujauzito na sitaki kupima mwaka wa 25 huu toka nianze ngono na sina dalil yoyote nb:usimbake mwandae utakuja nishukuru
Carrier labda utakua
 
Back
Top Bottom