Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Unatamkabidhi kijana anaiuza anajichana wembe ametekwa alafu biashara ya kizamani alafu unawaza karibu sana huo ni mtaji mkubwa kalale tena uwaze
 
kirikuu wapi inalipa?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…