Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Dogo tafuta kazi ili ujikeep busy kidogo,hizi chai zako za JF haziwezi kukusaidia kitu,
Umri haurudi nyuma.

 
Mkuu kwenye maisha yako umewahi kufanya kazi gani au biashara gani?

Ni biashara gani ambayo unahisi unaweza kuifanya kwa ufanisi na kwa upendo?

Baada ya kukaa chini biashara yoyote utakayo fanya Anza na 4-6milioni tu zingine usiguse. Ila ukiona faida ongezea.

Ukioweka yote m10 anguko ni kubwa sana mbeleni.


Cha mwisho kabisa kama huna pln yoyote usikopeshe ndg kwenye hela zote kama hujajenga jeng hata kama nyumba ndogo ishi hutajutia.
 
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
njoo mwanza ununue pilkipikibaina ya sanlg uweke mkataba nakupa miaka miwilinunakuwa milionea
 
Ushauri mzuri sana mkuu
 
Nunua simu tano za laki mbili mbili,tafuta soko popote pale ambapo unaweza ukaziuza kwa laki mbili na nusu au laki mbili na elfu 30.Ukifanikiwa kuuza simu tano kwa wiki komaaa hapohapo.
 
Kwa hiyo umeamua kuwasaidia vijana kwa kuwapa pikipiki za bure?

Kwa kweli biashara ya kumpa mtu akufanyie kwa Africa ni kama unamsaidia maisha tu.
 
Duuh aisee kwahiyo nitaingia loss mkuu
Kwa mimi hiyo sio biashara itakayokurudishia faida nzuri

Jaribu moja kama umeamua kuifanya, hapo utajua
Una moyo lakini? maana kusubiri mtu akufanyie kazi na akuletee hela nyumbani

Kila la kheri sisi tuko hapa
 
Nakushauri Bora uhonge mwanamke mzuri hiyo Hela kuliko kufanya hiyo biashara.utakosana na Kila dereva utakayempa hiyo pikipiki.
 

Kirikuu atatajirisha ma traffik tu,bora anunue toyo, ama bajaj aendeshe mwenyewe
 
Tulia Kwanza na hizo hela
Fanya RESEARCH
ALF UANGALIE NN CHA KUFANYA
M10 unaweza ukawa na biashara zaidi ya moja
 
Upo vizuri bora umemjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…