Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

Wazinzi mna raha sana, yaani mwanamke anaileta mwenyewe kwa lazima wakati sisi wengine tunahangaika kujidhalilisha humu jf tunatafuta wake kwa tochi hakuna hata wa kunisalimia kweli!
Hongera aisee ebu nipe na mimi hicho kizizi nimwekee To yeye
 
1. Pole Sana mkuu.
2. Si vema KUFANYANA na usiyempenda.
3. Ikilazimika KUFANYANA na usiyempenda fikiria na chukua tahadhari ya mimba na magonjwa ya zinaa.
Hadi hapo tambua kosa ni lako.

Kwa upande mwingine mwenzio alijipanga vizuri zaidi YAKO.
1. Most likely aliitaka mimba YAKO. Kwako ni ajali kwake ni mission accomplished.
2. Sidhani Kama una uhakika kuwa Mimba ni YAKO au umebambikwa.

UNAFANYAJE?
1. Kuwa mpole.
2. Mdodose vizuri ujue tatizo la msingi. INAWEZEKANA hakupendi pia ila hana pa kula Wala kulala.
3. Kama unaweza mpangie chumba au muachie chumba.
4. TAFUTA WATU MHIMU ANAOWESHIMU HIYO MCHUMBA WAKO WAWASHAURI NAMNA YA KUTOKA HAPO
5. Usimfokee, usimtukane, sababu hana pa kushika isipokuwa kwato tu.

Msaidie KWA upendo kuvuka.
Mtavuka wote salama.

USISAHAU KUPIMA DNA. Kuna uwezekano by 50% mimba si YAKO.
 
Kakupima kaona anakumudu, mimba yoyote ambayo sikusema wala kukubaliana nayo hainihusu. Huwa natoa notice mapema siitaji mtoto ukijichanganya imekula kwako kabla ya chochote
 
Muwowe, muwowe, muwowe
 
Hali uliyo nayo inahitaji utulivu na mawasiliano wazi;

●Mweleze kwa upole na kwa uwazi kuwa unathamini ujauzito na uko tayari kuwajibika, lakini hujajiandaa kuishi naye.

●Jadili namna ya kumsaidia kifedha na kihisia akiwa kwao.

●Weka mipaka ya wazi kuhusu nafasi yako ya binafsi na msimamo wako wa kutotaka kuishi pamoja. Ikiwezekana, tafuta msaada wa mshauri wa mahusiano au mtu mwenye busara kusaidia kufikia mwafaka.

●Licha ya tofauti zenu, zingatia ustawi wa mtoto kwa kushirikiana kwa uwazi na uwajibikaji.
 
Lakini mimba ni yako? 😅 kwani ulikua humpendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…