Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Kuna mwamba mmoja miaka ya nyuma alikuwa kazi nzuri,basi akakutana na church girl akajua hapa amepata mke,kumbe long time bint ana ngoma

Basi jamaa akaoa mwisho wa siku ndio hivyo tena,na kipindi kile hakuna dawa za kifubaza ule ugonjwa
Kama haya makanisa ya kilokole siku hizi hatari sana. Matapeli wote wamekimbilia huko. Kina dada walioshindika wanaenda huko kuji-camouflage wapate waume. Kunahitaji umakini sana.
 
KUna aina tatu za wanawake:-

1.Mke Mkeo
2.Mke Jina
3.Mke wetu.

Hapo nadhani umeoa MKE WETU - Mlezi wa wana.

Kama story yako ni ya kweli POLE SANA ingawa inatokea sana hiyo kwa watu wengi waliooa sema wengine hawastukii.
 
Kupigiwa na kupigiwa kifala kukoje?
kupigiwa hii haijalishi umepigiwaje? kuna akili imetumika au haijatumika hapo kwenye kupigiwa.

kupigiwa kifala ni kwamba unapigiwa ila sasa mkewako na huyo jamaa anaekupigia wote hawa move smart na still wewe unaepigiwa unakiwa haujui chochote yaani unakuwa zumbukuku mkewako anagawa uroda kijinga tu mafala wanajipigia, hapa kama uko smart utajua kabla au baada ya kupigiwa, ukiwa smart zaidi unajua hata kabla hujapigiwa
 
Nadhani huumpi muda wa kutosha Mke wako,kumdekeza kumsikiliza na kutoka nae mara chache bali uko busy tu na biashara. Futeni yaliyopita. Anzeni upya mna familia.
Kwa hyo mke anafaa kufanya anayofanya ?, women wako so stupid mnajustify ujinga , if issue alitaka mda c angeomba talaka aende kuwa na hao wenye mda
 
Sisi nyumbani tulishapigwa marufuku hakuna kuoa mwanamke wa kijita na wekizu. Sasa bora hao wajita usiombe ukutane na mwikizu wa hapo Nyamuswa utajuta.
Kiufupi mkoa wa Mara ni mkoa wangu lkn kuhusu wife material changamoto sana aisee!...! Labda wakurya lkn na wenyewe ili akuheshimu lzm kipigo kisipungue akizingua. Lkn kama unataka kufanikiwa oa mkurya ni wachapa kazi haswa.

Ushauri kwako mtoa mada: huyo mwanamke alichobakiza kwako ni kukuua na atakuua ukijifanya king'ang'anizi, huyo sio mke tena ni Malaya. Kama watoto washakuwa wakubwa piga chini fasta kaa na watoto wako.

Nb: wanawake wa musoma tuachieni sisi wenyewe nyie wa kuja hamuwawezi hata kidogo, sasa mwanamme Gani wewe mwanamke anakufanyia ushenzi wote huo na wala hujampiga hata kikofi?? Hovyo kabisa!!! Mwanamke anaheshimiwa akijiheshimu tofauti na hapo ni kipigo Cha kukandwa.
 
Sie tuliozaliwa Musoma,toka tulipokuwa vijana wazazi walitiambia wazi kama utaoa hapa Mkoani kwetu Mara oa binti kabila lolote lakini asiwe mjita,mkwaya au mkelewe.

95% ya wajita ni wasabatho na malaya konki.Utakuwa mpumbavu wa mwisho kufa kwa presha kwa kisingizio cha watoto.
Huo umri ulionao ni wa dakia moja presha.
 
Ukioa mwanamke wa kijita ili uende nae sawa lzm ujifanye kama kichaa, akuogope mke wako mpaka ukweni🤣 hapo mtaishi kwa Amani.
 
Huyo mwanamke amekuwa mbaya na ataendelea kuwa mbaya kutokana na upumbavu wako wewe mwanaume.

Kaa chini, shirikisha watu wakubwa ujue namna ya malezi ya watoto wako na sio kuendelea kumshikilia huyo mwanamke kisa malezi ya watoto tena mwanamke unayethibjtisha kabisa upuuzi wake. Anaufanya anajua wewe ni bwege huwezi kumtema.

Mke wa mtu akichepuka ujue hisia zake zipo huko nje, hapo anatamani hata upotee au ufe ili awe huru zaidi na maisha yake mengine mapya, hakwambii tu ila kiukweli anatamani akae mbali na wewe kimahusiano. Ungekuwa karibu yangu Mkuu hata kibao mimi ningekuchapa jinsi ilivyo mpuuzi.

Endelea kucheka na kukosa imani, ukija kufa ni wazazi na ndugu zako na wanao ndio wataumia, yeye anaanza maisha yake mapya na wenzie. Tafuta watu wazima hasa wazazi na ndugu zako ili utoke hapo ujue hatma ya malezi ya watoto wako. Mpe space huyo mwanamke aendelee kufanya umalaya, wakishamchoka atarudi tena kwako na hapo akili itakuwa imemkaa sawa ila kwa sasa ataendelea kukusumbua na wewe ndio utaumia na ATAKUUA KWA UPUUZI UNAOUENDEKEZA.
 
Jamaa ni mpuuzi sana tena saaana. Huu udhaifu wake ndio utafanya hata mtoto wake wa kiume naye mbeleni awe dhaifu kama baba yake alivyo mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…