Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

Huyo so wakishua huyo ni muhun tu nae kakupata boya kama ww, we endelea kutoboka si ndio uanaumee. Komaa na huyo
Maskin mwenzio.
 
Wew laki mbili unalalamika? Alafu mabestee
Wanakuja unademaa acha ujinga wewee. Kula boga na majan yake na miti yake mpaka mizizi [emoji1787][emoji1787]
 
Hizo sina hamu nazo,niliwahi otea pisi ya kishua,daah nilikua nagalamika kujifanya ninazo,sema tu walikua wana hotel kwahyo nilikua naenda kugongea kwenye hotel yao wakat akienda kukagua hesabu,so hela ya hotel nilikua sitoi ila chakula na vinywaji sasa duuhh
 
Huyo alikuwa kapuku mwenzio
 
Ulimpeleka Mjimwema Lodge au Kwa Mwaisango unasema hotelini kaka unatuchora
 
Hii ndio JF bwana mleta mada! Humu kila mtu analala hoteli nyota 5 kuanzia laki nne kwa siku na kuendelea.... so usilete mambo yako ya laki mbili kwa siku 10 humu hautaeleweka hata kidogo..! 😁😁😁

huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna siku 1 alikuja na mabesti zake watatu.
 
Hii ndio JF bwana mleta mada! Humu kila mtu analala hoteli nyota 5 kuanzia laki nne kwa siku na kuendelea.... so usilete mambo yako ya laki mbili kwa siku 10 humu hautaeleweka hata kidogo..! 😁😁😁
nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesa
 
nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesa
Huku unatakiwa ukae kimachale mkuu 😁😁
 
Hakuna issue ya kishamba kama kuwashobokea hivi viumbe
 
🀣🀣..apo kwenye ndoike
 
nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…