Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Au sio [emoji1787]Ushauri Muhuni 1 mwenzake huu[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio [emoji1787]Ushauri Muhuni 1 mwenzake huu[emoji1787][emoji1787]
Pole sanaMbona unalewa na marafiki zako na wazazi wako wanalala njaa?
Mimi sina wazazi na hata walipokuwepo walikuwa wansjimudu sana tu
Huyo alikuwa kapuku mwenzioHizo sina hamu nazo,niliwahi otea pisi ya kishua,daah nilikua nagalamika kujifanya ninazo,sema tu walikua wana hotel kwahyo nilikua naenda kugongea kwenye hotel yao wakat akienda kukagua hesabu,so hela ya hotel nilikua sitoi ila chakula na vinywaji sasa duuhh
🤣🤣🤣Kabisa yaanNina hakika amempeleka vile vila lodg evya mfikemo ambako nao watu wa mbeya wanaita hotel
Kutolewa out bro,ndicho twazungumzia🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸Laki 2 ndogo? Acha kuvimba! Hiyo 500k ya ualimu inakutia kiwewe! Ongea hayo kama unajijua unapokea 2M+
huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna siku 1 alikuja na mabesti zake watatu.
Kapuku mwenzangu yupo Argentina,ila mi nipo shambani nalima bamiaHuyo alikuwa kapuku mwenzio
nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesaHii ndio JF bwana mleta mada! Humu kila mtu analala hoteli nyota 5 kuanzia laki nne kwa siku na kuendelea.... so usilete mambo yako ya laki mbili kwa siku 10 humu hautaeleweka hata kidogo..! 😁😁😁
Huku unatakiwa ukae kimachale mkuu 😁😁nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesa
Hakuna issue ya kishamba kama kuwashobokea hivi viumbeNipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu, ni first year wale wa mwaka wa kwanza kutoka form 6.
huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna siku 1 alikuja na mabesti zake watatu.
Uzuri tu ni kwamba kifedha naona yupo vizuri na hana mkopo anatumiwa pesa na mzee wake, sijawahi kumnunulia bando Wala kumpa hela ya usafiri wala nywele
nagharamika hotelini tu, hanywi pombe na kula yake ni ya kistaarabu sio ya kufakamia, hata ulaji wake tu unaonekana haya mambo ya hotel kwake kawaida
Penzi na enjoy lakini chamoto nakiona, hizi gharama kwangu zinanipiga ngumi ndoike maana hazikwepeki
Still bado kapuku mwenzio tu. Kwenda abroad hasa America ya kusini hata kaskazini haiondoi ukapukuKapuku mwenzangu yupo Argentina,ila mi nipo shambani nalima bamia
🤣🤣..apo kwenye ndoikeNipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu, ni first year wale wa mwaka wa kwanza kutoka form 6.
huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna siku 1 alikuja na mabesti zake watatu.
Uzuri tu ni kwamba kifedha naona yupo vizuri na hana mkopo anatumiwa pesa na mzee wake, sijawahi kumnunulia bando Wala kumpa hela ya usafiri wala nywele
nagharamika hotelini tu, hanywi pombe na kula yake ni ya kistaarabu sio ya kufakamia, hata ulaji wake tu unaonekana haya mambo ya hotel kwake kawaida
Penzi na enjoy lakini chamoto nakiona, hizi gharama kwangu zinanipiga ngumi ndoike maana hazikwepeki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimekuwa mdogo kama piritoni, humu hf watu wanachezea pesa aisee, watu laki 2 wanaona ndogo ila kwenye jukwaa la ajira unawakuta wanatafta kazi, huenda huwa wanazihitaji za kupotezea mda na sio pesa