Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Aanike nini bingwa? Wewe unaparamia mwanamke na kulala naye bila kinga halafu unategemea nini? Hata mimi ningekuwa mwanamke ukinitongoza sikuambii ng'o. Sheria za mchezo unazijua na siyo jambo jipya hata. BTW siamini sana hii habari kama ni kweli.
 
Wacha nikampime shemej yako kesho

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
msimuumize moyo, hivyo vipimo kuna baadhi ya mikoa hapahapa mfano Dodoma, kuna doctor mmoja alinambia vinadanganya. ila kama mwanamke alijua, basi, kama utelezi ulikuwepo wa kutosha, kuna uwezekano mdogo sana ukasavaivu. kuna mwezi nilienda Dodoma kikazi, nikapigwa na malaria kali kwelikweli,nikaenda kupima, nikaambiwa hakuna malaria wala nini. nikawa naendelea na shughuli morogoro, nikapima nikaonekana nina malaria kali. nikamwuliza kwanini Dodoma nimepima juzi ilikuwa hakuna malaria, akanambia kuwa hali ya hewa ya Dodoma wakati mwingine malaria huwa hazionekani. kuna uwezekano hata kwenye hiv test ya aina hiyo ikaonyesha negative kama ilivyo kwako, kumbe unavyo. sijui kama nilidanganywa na huyo doctor ama la.
 
Ulimpima afya huyo mwanamke kwa kumuangalia tu.

Uzembe wako umekugharimu....pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…