Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

Sasa bibie si uwe unasoma Kisha ukaelewa. Kwenye Uislamu Mwanaume ndiyo anatakiwa kumuhudumia Mwanamke.
Unazungumzia enzi za kale sana; nyakati za ujima hizo. Leo wanawake wanaongoza vyombo kwenda outer spaces uko kwenye fikra za kumstarehesha mume.
 
Mbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.
LOGIC ya kuwapunja WATOTO WA KIKE NI HII.

Watoto wa Kike always hulelewa na kaka zao pindi wazazi wao wanapofariki.

Hata kama ukiolewa unapoachika unarudi kwa kaka yako, hivyo basi ile ziada ambayo kaka yako amechukua kama urithi itakusaidia kukuhudumia pindi utakapokuwa umerudi/unaishi kwa kaka yako.

Sheria za Kiislam zinatambua hali za wanawake hivyo wanawekewa ulinzi kwa NDUGU ZAO WA KIUME.
 
Uwe unaandika mambo ukiwa na Elimu nayo. Sharti la ndoa katika Uislamu ni kuridhiana baina ya wenzi hao wawili. Hakuna ndoa ya kulazimishana katika Uislamu.

Hivi kijana kwani ni lazima uandike kila unachoona kiona. Kila siku unakosea unapoongelea Uislamu, unatakiwa ujifinze usilete ujuaji.

Nawe uwe unasoma na kuelewa mantiki ya kilichoandikwa.

Nilikuwa majibu Mtoa comment hapo juu aliyesema Mwanamke anaweza kuamua asiolewe.

Ndio nikamuambia kwenye uislam Kuoa na kuolewa sio ishu ya hiyari au kupenda, Bali ni amri ya Mungu Watu waoe na kuolewa.

Uislam hauna Yale mambo ya Masista au mabraza au mapadri kuwa unaamua tuu usiolewe au usioe.

Sasa wewe umekurupuka, umeshindwa kuelewa Mtiririko wa mazungumzo
 
Dini Ni miongoni mwa Taasisi zinazomkandamiza mwanamke [emoji2] hizi sheria hazijakaa sawa
Sheria za KIISLAM zote zimekaa sawa, tatizo lako umekaza kichwa na hutaki kuelewa kwann imekuwa hivyo?

Mfano, DADA YAKO AMEOLEWA, ANAPOACHIKA ATARUDI KUISHI KWA NANI?, NANI NI MLINZI WA DADA YAKO? SIO WEWE MWENYEWE? NANI ANAPASWA KUMPA MSAADA DADA YAKO PINDI MNAPOFIWA NA WAZAZI WENU?

HATA MWANAMKE AWE MKUBWA KULIKO MWANAUME, UISLAM UNATAMBUA NGUVU YA MWANAUME NA JUKUMU LA KUMLINDA DADA YAKE, UISLAM UNAGAWA URITHI KATIKA MAZINGATIO MUHIMU HUKO MBELENI.

MWANAMKE ANAPOOLEWA ALWAYS UHAMA KWAO, MATUNZO YA NYUMBA NK HUFANYWA NA KAKA MTU, NA HATA AKIACHIKA ATARUDI HAPO KWA KAKA YAKE, NDIPO HAPO SASA ULE URITHI AMBAPO KAKA MTU ALIMZIDI DADA YAKE UNATUMIKA KUMHUDUMIA.
 
Mtoa mada kumbuka pia Kabla ya mirathi, wakati wa ndoa dini inaruhusu Kila mtu kumiliki Mali kivyake, mkiachana Kila mtu afe na chake.....sio mke mama wa nyumbani halafu mkifumaniana mgawane jasho la mume aliyekuwa anahangaika usiku na mchana, au mke pia anafanya kazi halafu Mali zote zinahesabiwa za mume, ukiuliza alitoa mahari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na hiyo 1/8 ya urithi wa mke, ni anarithi lile jasho pure la mume, kama mke alichangia chochote katika kuchuma Mali, basi alichochangia kwanza kinatolewa anarudishiwa, Kisha Ile sehemu ya mume inayobaki ndio atarithi hiyo 1/8, nyingine ndiyo watarithi watoto na wazazi kama wapo.
Hii umeitoa kwenye AYA ipi madam??? Unaweza kutuwekea hapa na kama ni HADITH tuwekee hapa.
 
Nawe uwe unasoma na kuelewa mantiki ya kilichoandikwa.

Nilikuwa majibu Mtoa comment hapo juu aliyesema Mwanamke anaweza kuamua asiolewe.

Ndio nikamuambia kwenye uislam Kuoa na kuolewa sio ishu ya hiyari au kupenda, Bali ni amri ya Mungu Watu waoe na kuolewa.

Uislam hauna Yale mambo ya Masista au mabraza au mapadri kuwa unaamua tuu usiolewe au usioe.

Sasa wewe umekurupuka, umeshindwa kuelewa Mtiririko wa mazungumzo
Yaani unaendelea tena kukosea Bora ungetulia tu. Chutaman kijana, ndiyo maana nakwambia wapi Uislamu umefanua ndoa ni amri ?

Sababu wako watu walio walikuwa wasomi wakubwa na hawajaoa mpaka wanakufa.

Kwahiyo bado unakosea na kuandika uongo juu ya Uislamu. Sasa tuambie wapi imeandikwa katika Uislamu kwamba kuoa au kuolewa ni amri.
 
Wanawake wa kiislamu wanaungulia kimyakimya moyoni ndio maana wao hufikia kuuwa waume zao na kuwasambaratisha kabisa watoto ili mwisho wao mali zote ziwe mikononi mwao
We Mzee acha uongo kati ya wakristo na Waislamu wepi wanouana sanaa? Usiongee vitu kwa ushabiki hapa
 
Sasa bibie si uwe unasoma Kisha ukaelewa. Kwenye Uislamu Mwanaume ndiyo anatakiwa kumuhudumia Mwanamke.
Uislamu haujamkataza mke kumiliki Mali Wala kufanya kazi. Na bado mume anatakiwa ahudumie kila kitu, hadi nauli ya kazini.
Sio mke kauza nyumba yao ya urithi mume unazitolea macho pesa zake🤣
 
Attachments

  • IMG_20230225_073436.jpg
    IMG_20230225_073436.jpg
    154.4 KB · Views: 5
Mama alitakiwa arith sehemu kubwa maana yeye kahangaika kubeba mimba na uchungu juu na kuwalea ni kazi kubwaaa
 
Sheria za KIISLAM zote zimekaa sawa, tatizo lako umekaza kichwa na hutaki kuelewa kwann imekuwa hivyo?

Mfano, DADA YAKO AMEOLEWA, ANAPOACHIKA ATARUDI KUISHI KWA NANI?, NANI NI MLINZI WA DADA YAKO? SIO WEWE MWENYEWE? NANI ANAPASWA KUMPA MSAADA DADA YAKO PINDI MNAPOFIWA NA WAZAZI WENU?

HATA MWANAMKE AWE MKUBWA KULIKO MWANAUME, UISLAM UNATAMBUA NGUVU YA MWANAUME NA JUKUMU LA KUMLINDA DADA YAKE, UISLAM UNAGAWA URITHI KATIKA MAZINGATIO MUHIMU HUKO MBELENI.

MWANAMKE ANAPOOLEWA ALWAYS UHAMA KWAO, MATUNZO YA NYUMBA NK HUFANYWA NA KAKA MTU, NA HATA AKIACHIKA ATARUDI HAPO KWA KAKA YAKE, NDIPO HAPO SASA ULE URITHI AMBAPO KAKA MTU ALIMZIDI DADA YAKE UNATUMIKA KUMHUDUMIA.

Kaka gan hao wanaotunza dada zao ?? Kaka wanatunza wake zao
 
Mbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.

Lengo la mwanamke kupunjwa ni kwamba akiachika au mume wake akifa basi atalelewa na kaka yake. Na swala la kutotaka mwanamke asiolewe ktk uislamu halipo. Kwann asitake? Asipotaka Hilo ni tatizo alilojitengenezea
 
Mama alitakiwa arith sehemu kubwa maana yeye kahangaika kubeba mimba na uchungu juu na kuwalea ni kazi kubwaaa
Kibongo bongo mama harithi hata bakuli ya mwanae, Mali zote anabeba mke waliyekutana ukubwani...mirathi ya kiislamu hata waislamu wenyewe wanaikimbia wanakimbilia mahakamani🤣🤣 Haina mba mba mba, Haina dhulma.
 
Asa ni haki kweli hiyo ndio maana mim napenda watoto wa kike
 
Sheria ya kiislam inaruhusu wake si zaidi ya wanne

Kama hakuna watoto wa kiume atatafutwa mjukui wake wa kiume, baba yake, babu yake, kaka yake n.k

Kajitoa ufahamu huyo anataka mbishane, wakti umeweka pale maelezo.

Kama mfumo wao unawakidhi barida, maisha ni suala la kuchagua mfumo na kuishi nao.
 
Back
Top Bottom