Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

Mbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.


Usipofikiria kiislam hutamuelewa jamaa.
 
Mbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.
mwisho wake 4 kwenye uislamu
 
Wanawake wa kiislamu wanaungulia kimyakimya moyoni ndio maana wao hufikia kuuwa waume zao na kuwasambaratisha kabisa watoto ili mwisho wao mali zote ziwe mikononi mwao
hao sio waisilam labda umekalili jinatu
 
Asa ni haki kweli hiyo ndio maana mim napenda watoto wa kike

Hadi Mama mzazi ana urithi kwa mwanawe kuna ratio fulani, uliza wachambuzi wataeleza, nilipata kuzisoma hizo sheria ila nimesahau.

Ukitulia na kuwasikiliza vizuri utawaelewa hawa jamaa kwenye hili na lile la kuoa wanawake wengi nawaelewa sana jamaa [emoji28][emoji23]
 
hao sio waisilam labda umekalili jinatu
Mfano ni familia yangu mwenyewe mke wa mzee wangu ambae ni mama yangu wa kambo hii sheria ukimsoma kisaikorojia unaona anateseka kabisa. Kwanza anawachukia watoto wa kiume wa mke mkubwa kwa sababu sheria insema mtoto wa kiume apate nusu na wa kike ni theruthi
 
Unazungumzia enzi za kale sana; nyakati za ujima hizo. Leo wanawake wanaongoza vyombo kwenda outer spaces uko kwenye fikra za kumstarehesha mume.
wewe ulipo hapo unahudimiwa na mwanaume labda kama wewe ni dunga nyembe gume gume hata huko unapo amini kuwa wako sahii mwanamke anamsitarehesha mwanaume na mwanaume pia anamuhudumia mkewe
 
Yaani unaendelea tena kukosea Bora ungetulia tu. Chutaman kijana, ndiyo maana nakwambia wapi Uislamu umefanua ndoa ni amri ?

Sababu wako watu walio walikuwa wasomi wakubwa na hawajaoa mpaka wanakufa.

Kwahiyo bado unakosea na kuandika uongo juu ya Uislamu. Sasa tuambie wapi imeandikwa katika Uislamu kwamba kuoa au kuolewa ni amri.
kuoa ni amri kwa mwanaume mwenye vigezo via kumiliki mke
 
Nje ya mada. Hivi ni kweli uchagani binti hana urithi?
 
We Mzee acha uongo kati ya wakristo na Waislamu wepi wanouana sanaa? Usiongee vitu kwa ushabiki hapa
machame shinyanga mwanza iringa mbeya njombe songwe hiyo mikoa wanawake wanaua sana waume zao sababu ya mali hiyo mikoa wanaishi dini gani?
 
Uislamu ndio dini ya Mungu na ndio dini ya kweli enyi binadamu njooni katika haqqi ili mpate salama ya Mungu hapa duniani na kesho Akhera
Mimi mnanikera kwenye uchawi tu yani ni wachawi sana
 
mmmh aisee mtoto wa kike kaonewa sana
Mwanamke hana kwake, ana kwao, hata mila za baadhi ya makabila, mwanamke akishaolewa tu, huambiwa hapa huna chako tena.

Unachotakiwa kufahami kuna mambo ni ya kimaumbile, ndiyo maana mwanamke hachumbii, wala haowi bali ni mwanamme, hii ni Dunia mzima na kawaida anae hama alipokua anaishi ni mwanamke kuhamia kwa mwanamme.

Ukiona mtu ameoa akahamia kwa mwanamke, ukimchunguza utaona ana kasoro siyo chini 20.
 
Mimi mnanikera kwenye uchawi tu yani ni wachawi sana
tutajie mkoa wako na abila lako je hakuna wachawi huko?hau hao wakina mwamposa na wenzie hayo mazingombwe wanayo yafanya yanaruhusiwa na biblia? tuanzie hapo
 
Kiislam kuolewa ni amri sio hiyari,
Sio ishu ya kupenda.
Siyo kweli unapotosha, hata wakristo Wenzio ni majirani wa Waislamu wanajua unaandika Uwongo.
Kama kuolewa Waislamu ni Amri, Kwanini wakati wa kufunga ndoa wanandoa kama wamekubaliana kuoawana, Akiugua utamuuguza, na akifa utamzika.
 
Back
Top Bottom