Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Mbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.
mwanamke anacho chukia kwenye wisilamu ni uke wenza kuwa chini ya mume kuto vaa vimini kuziwa kuzulua kama mbwa kichaa kuvaa gubi gubiWanawake wanasema huu mfumo unawakandamiza
mwisho wake 4 kwenye uislamuMbona hujaongelea kwa wake waliozidi wanne? Vp Kama marehemu Hana watoto wakiume? BTW logic ya kuwapunja watoto wa kike urithi wao kisa wataolewa, Haina mashimo, maana sio wote watapenda kuolewa/ kuishi na waume zao mpaka mwisho.
hao sio waisilam labda umekalili jinatuWanawake wa kiislamu wanaungulia kimyakimya moyoni ndio maana wao hufikia kuuwa waume zao na kuwasambaratisha kabisa watoto ili mwisho wao mali zote ziwe mikononi mwao
unataka kutembea matako nje huku boda boda wakikutia vidole waona raha sanaDini Ni miongoni mwa Taasisi zinazomkandamiza mwanamke [emoji2] hizi sheria hazijakaa sawa
Asa ni haki kweli hiyo ndio maana mim napenda watoto wa kike
wewe ni mtoto wa kike?mmmh aisee mtoto wa kike kaonewa sana
Mfano ni familia yangu mwenyewe mke wa mzee wangu ambae ni mama yangu wa kambo hii sheria ukimsoma kisaikorojia unaona anateseka kabisa. Kwanza anawachukia watoto wa kiume wa mke mkubwa kwa sababu sheria insema mtoto wa kiume apate nusu na wa kike ni theruthihao sio waisilam labda umekalili jinatu
watoto wake wazazi wake lakini mume akimuoa mke mwenye mali akafa anamrithi tuNa mke akifa mirathi inakuwaje?
Msomi.... family law imekuumiza kichwa😂Uko sahihi.
Mimi naogopa ndoa kwasababu ya sheria za ndoa japo mimi nimesoma Shahada ya Sheria.
wewe ulipo hapo unahudimiwa na mwanaume labda kama wewe ni dunga nyembe gume gume hata huko unapo amini kuwa wako sahii mwanamke anamsitarehesha mwanaume na mwanaume pia anamuhudumia mkeweUnazungumzia enzi za kale sana; nyakati za ujima hizo. Leo wanawake wanaongoza vyombo kwenda outer spaces uko kwenye fikra za kumstarehesha mume.
Dini yako inasemaje kuhusu mgawanyo wa mali za ulisi.Dini Ni miongoni mwa Taasisi zinazomkandamiza mwanamke [emoji2] hizi sheria hazijakaa sawa
kuoa ni amri kwa mwanaume mwenye vigezo via kumiliki mkeYaani unaendelea tena kukosea Bora ungetulia tu. Chutaman kijana, ndiyo maana nakwambia wapi Uislamu umefanua ndoa ni amri ?
Sababu wako watu walio walikuwa wasomi wakubwa na hawajaoa mpaka wanakufa.
Kwahiyo bado unakosea na kuandika uongo juu ya Uislamu. Sasa tuambie wapi imeandikwa katika Uislamu kwamba kuoa au kuolewa ni amri.
machame shinyanga mwanza iringa mbeya njombe songwe hiyo mikoa wanawake wanaua sana waume zao sababu ya mali hiyo mikoa wanaishi dini gani?We Mzee acha uongo kati ya wakristo na Waislamu wepi wanouana sanaa? Usiongee vitu kwa ushabiki hapa
Mimi mnanikera kwenye uchawi tu yani ni wachawi sanaUislamu ndio dini ya Mungu na ndio dini ya kweli enyi binadamu njooni katika haqqi ili mpate salama ya Mungu hapa duniani na kesho Akhera
hana pakurithiWatu watarithi wa kwako[emoji1787]
Mwanamke hana kwake, ana kwao, hata mila za baadhi ya makabila, mwanamke akishaolewa tu, huambiwa hapa huna chako tena.mmmh aisee mtoto wa kike kaonewa sana
tutajie mkoa wako na abila lako je hakuna wachawi huko?hau hao wakina mwamposa na wenzie hayo mazingombwe wanayo yafanya yanaruhusiwa na biblia? tuanzie hapoMimi mnanikera kwenye uchawi tu yani ni wachawi sana
Siyo kweli unapotosha, hata wakristo Wenzio ni majirani wa Waislamu wanajua unaandika Uwongo.Kiislam kuolewa ni amri sio hiyari,
Sio ishu ya kupenda.