Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

bro mimi sijakataa. ila kama unahisi mtu wako ni mbinafsi kwanini usimuache kwa wema tu hata siku nyingine mkikumbukana mnaweza kuyajenga tena. ila unachofanya wewe ni kumkomoa mkuu.

mlipe hela yake then usiwe unamuita kwenye mitoko yako coz inaonekana unamuitaga sana na unapenda kampani yake halafu mwisho wa siku unakuja kulalamika hugharamikiwi.

kama unamtafutaga mtoke out hutakiwi kulalamika, na hata kama anakutafutaga mtoke out bado hutakiwi kulalamika coz ungeweza kumwambia sina hela au hujiskii.. ila bado unamkubalia na mnatoka out kwa gharama zako. sasa iweje umuone mbinafsi au hapendi kugharamia outings wakati umeshamzoesha kulipia kila kitu?

mlipe tu bro hutapungukiwa kitu. usivurugane nae kwa jambo dogo kama hilo coz mnaonekana mko peace sana.

hilo jambo la ubinafsi linakusumbua wewe sio yeye coz yeye anachoona ni kwamba unapenda kumtoa out na si vinginevyo.
 
bro mimi sijakataa. ila kama unahisi mtu wako ni mbinafsi kwanini usimuache kwa wema tu hata siku nyingine mkikumbukana mnaweza kuyajenga tena. ila unachofanya wewe ni kumkomoa mkuu.
Yote sawa but, she has to lean how to join comfort expenses.
 
Yote sawa but, she has to lean how to join comfort expenses.
are you teaching her? mi naona unamlaumu tu lawama tuu lawama tuuu mkuu mfungukie kuhusu hili swala umskie anasemaje.
 
Kiukweli kumpa fedha mwanaume asie mumeo eti kisa anakugonga ni dharau na aibu iliyopitiliza hatukuumbwa hivyo sisi wanawake, sasa naona Kama unalazimisha mtu wako awe na hulka za kiume na utaipata pata labda km unamtafutia sababu ya kumuacha

Ni rahisi Sana kwa mwanamke kukupa k bureee, ila ni ngumu mwanamke huyo huyo kukupa pesa yake hata buku 5 tu, tuna ubinafsi Sana, hii ni udhaifu wetu, Sasa wewe unashindana na huo udhaifu maana yake wewe ni dhaifu zaidi
 
Nakubali
 
Sio mtu wa vurugu sababu tumezoeana sana ila nimemshangaa kudai arudishiwe pesa yake ya malazi, nawaza labda atakasirika tu namwisho sijui atafanyanini.

Kwangu mimi nisha amua akiminde poatu.
Mmmh huyo demu wako muache, ni mbinafsi na ana roho mbaya Liwagu
 

Sio Mna ubinafsi, hiyo naita ni roho mbaya mno tena ya kichawi kabisa, Yani mdada unakereka ukimsaidia boyfriend wako tshs elfu 5 Ya bure wakati ww ukiwa na shida, unataka usaidiwe malaki ya shillings bure na boyfriend wako.,tena ukute anakupaga Malaki ya tshs bure

Ningekuona kwa uso nsingemaliza kukutazama, iyo ni roho ya shetani/ya ki-lucifer kabisa Noelia
 
Nini, acheni ubahili, jaribu kulipia sikumoja uongeze thamani yako.
Sio wabahili, hawa Wadada Wengi tunao-date nao wana roho mbaya sana, mdada kukupa hela yake bure anahisi roho inamtoka, wakati Utakuta ww unamuhudumiaga Malaki ya tshs

USHAURI:
Huyo demu anaekudai hela aliyolipia lodge Ni bomu, inaonesha ana roho mbaya, nakushauri umwambie kuwa anachokifanya si kizuri, mlipe hela yake hlf achana naye, mahusiano yafe tangu leo
Liwagu
 
Unasapoti ujinga ili upate mademu humu jF King Mbappe
 
Tusitegemee Dar joto kuisha siku za karibuni
 
Shindwa pepo shindwaaaaaahhh!!!
 
Kama mlikubaliana kurudishiana basi heshimu makubaliano
 
uyo dada ana roho nzuri sana anakopesha nyuchi

Afu tofautisha PC na pisi

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Nani kakudanganya Kama mimi naogopa wewe kukasirika😂😂😂 Kwamba nilie wewe kuniita Lucifer,, una wazimu,mi sijali na wewe unaniitaje nimetoa mawazo yangu tu kuyakubali, kuyakataa kuchukia Ni juu yako hayanihusu
 
Nani kakudanganya Kama mimi naogopa wewe kukasirika😂😂😂 Kwamba nilie wewe kuniita Lucifer,, una wazimu,mi sijali na wewe unaniitaje nimetoa mawazo yangu tu kuyakubali, kuyakataa kuchukia Ni juu yako hayanihusu
Inasikitisha Sana, kuwa nyie ndio mko kwenye asilima 90 ya aina wake tutakaokuja kuoa, mna mioyo kama hiyo. Toxic women..very sad Noelia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…