NHyakati zimebadilika sana sasa. Tunataka manufaa ya kiuchumi katika eneo hili bila ya vurugu za kivita.Huo mgogoro huko DRC Mashariki uko kwa karibu miongo mitatu sasa, haujawahi kuwa na wala hauna madhara yoyote ya maana kwa Tanzania.
Kwa hiyo umekwisha nihukumu na kujifanya wewe ndiye mjuaji? Si bora ukae na ujuaji wako mwenyewe badala ya kuuleta hapa kama hutaki kusikia ya wengine?Acha story nyingi za vijiweni, ingia mtandaoni usome mwenye kuhusu SAMIDRC.
Mimi sio Matusi na sio Mhamiaji haramu.Wewe ni matusi unayeishi Tanzania, mhamiaji haramu
He doesn't play by the book.Ataweza nchi zingine lakin si hapa, we know his playbook.
Oh he does, we taught him, we trained and educated him, he cant cross that lineHe doesn't play by the book.
We didn't train him, he was trained by Museveni and USA.Oh he does, we taught him, we trained and educated him, he cant cross that line
Ukiingia kwenye mapigano kuna kuua na kuuwawa.Mbona huwa mnasema jeshi letu ni imara kuliko la Rwanda, sasa inakuwaje wanaingiza ubaridi tena? Au jeshi letu ni dhabiti kwenye kudhibiti rais wasio na silaha ambao hawaikubali ccm?
Shida sio kufa au kutokufa; ila loss of lives iwe justified na intended end results. Vinginevyo ivyo vifo vinakuwa unnecessary loss of lives.Inaonekana askari wetu wanamalizwa sana huko tunafichwa idadi tu
Makalio yake nani sasa?Labda akiamua kuyang'oa makalio yake ndo jua halitazama
Ina impact gani kwa taifa??Mtoa mada ni mnyarwanda siyo bure. Huwezi kuw mtz usielewe presence ya jwtz congo ina impact gani kwa taifa.
Mwese wako weng sana Hawa na kapangaIkola Mwese Katuma nk
Storybza vijiwe vya kahawa , kagame ni mtu mdogo sana tanzania hii hana jeuri yeyoteNa Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Uko sahihi 100%Rwanda ni sehemu tu ya mzozo ila matatizo ya Drc ni zaidi ya Rwanda.
zitto junior JokaKuu imhotep Richard
PkMakalio yake nani sasa?
bora ubaakie tu hivyohivyo ukiwa haujui lolote kuhusu Nchi yetu! we kula lala kwa amaniNa Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Labda kuhit masikio yake kama madish ya ungo..Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Genocide ilitokea Bill Clinton akiwa Rais wa USA na ni mojawapo ya mambo aliyolaumiwa sana kwa US kutofanya jambo lolote wakati huoUko sahihi 100%
Na kibaya zaidi na ambacho hakisemwi ni kwamba makabaila ndo wanokoleza mgogoro kwa manufaa yao.
Angalia msaada wanopewa M23 ambao wajumuisha vifaa cya kisasa kabisa.
Nimeongelea jambo hili lakini nahisi Goma na Kivu yote vitakuwa chini ya M23 na Rwanda bado watuhumiwa kuwa wapo nyuma yao.
Jiulize inakuwaje watu wązito wamehudhuria juzi maadhimisho ya mauaji ya Kimbari?
Bill Clinton, mwakilishi wa Israeli, majasusi waandamizi wa barani Ulaya na Marekani, makampuni ya kigeni na hata wawakilshi wa Ukrainę walikuwapo.
Hivyo mgogoro huu si wa kuhusu mipaka tu bali pia wahusisha wenye dunia na suala zima la siasa za kijiografia.
Playing "off - the - book" is what made him what he is.Oh he does, we taught him, we trained and educated him, he cant cross that line
We did a bit.We didn't train him, he was trained my Museveni and USA.