Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Kwa 5m akinunua Brevis au GX100 anapata ambayo iko vizuri sana na atadunda nayo hadi aichoke. Ila kwenye hivi vigari vya cc900-1200 atapata tabu sana
Nyie sio watu wema ushauri mbaya, wengine mnajifanya kuchukia magari ya cc ndogo wakati kutwa mpo kwa miguu, magari yamewashinda matumizi ya mafuta... Wengine wansjidsi ni madone wakati hata mchana hawajui wale nini, ifike mahali tuwe serious tunapotoa ushauri

sent from HUAWEI
 
Kwahio unajiona uko peke yako unaeweza ku-afford gari ya cc kubwa? Ni kweli mkuu mimi najifanya kuchukia gari za cc ndogo huku kutwa natembea kwa miguu.
 
Hahahahahah zingatia neno “vition”
Jamaa kapaniki
 
4.5+3=7.5M

Kwahiyo amenunua mini cooper kwa 7.5M.
 
Nicheck inbox kaka
 
We unafikiri kumeki hela ifike walau 14m ni jambo la kitoto?
Kumeki hela ifike 14M siyo jambo la kitoto lakini kuendesha gari uliyonunua kutoka kwa rangi nyeusi siyo jambo la kitoto hata kidogo.Jasho litakuwa linakutoka masaa 24.

Unamkumbuka yule jamaa alienunua Honda CR-V mnadani hapa bongo halafu akakimbilia JF kuandika uzi kuwa honda ni gari mbaya sana?
 
Honda ni gari mbovu hata hivyo sio tu ya mnada ila hata wewe ukiagiza leo hii! Sijawahi kuona Honda ambayo haina usumbufu labda ile hondaFit

Agiza honda namie niagize spacio af tuone nani atakuwa analia lia 😅😅😅 daily!
 
4.5+3=7.5M

Kwahiyo amenunua mini cooper kwa 7.5M.
Ni Bora ingekuwa used kutoka mamtoni,ila yeye kanunua kwa Bei hiyo kutoka kwa muharibifu wa kibongo 😁😁😁😁
 
Honda ni gari mbovu hata hivyo sio tu ya mnada ila hata wewe ukiagiza leo hii! Sijawahi kuona Honda ambayo haina usumbufu labda ile hondaFit

Agiza honda namie niagize spacio af tuone nani atakuwa analia lia 😅😅😅 daily!
Siyo kweli.Honda CR-V ni gari ya pili inayoongoza kwa kuuzwa kule marekani baada ya RAV-4 ambayo ni namba moja na ni gari ya nne inayoongoza kwa kuuzwa duniani.

Honda CR-V ni gari bora ya muda wote namba mbili kwa watu wa kawaida baada ya RAV-4.
 
Siyo kweli.Honda CR-V ni gari ya pili inayoongoza kwa kuuzwa kule marekani baada ya RAV-4 na ni gari ya nne inayoongoza kwa kuuzwa duniani.

Honda CR-V ni gari bora ya muda wote namba mbili kwa watu wa kawaida baada ya RAV-4.
View attachment 1966598
Ni gari nzuri kwa Marekani ila kwa bongo ni gari ya hovyo sana😅 kama unabisha tafta takwimu za watu waliowahi kumiliki hio gari hapa nchini watakwambia.
 
Mzee gari inategemea na location! Gari kwa ajili ya US market ni tofauti na za JDM zile! Tusiandikie mate we nenda hata garage unayofanyia service gari lako uliza fundi unayemuamini akwambie
Mimi nazungumzia kuwa gari namba nne kwa mauzo duniani. Sizungumzii Marekani. Kwani huko duniani hakuna nchi zenye sifa kama ya Bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…