Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Kosa la kwanza umefanya ni kuandika wewe si mzoefu wa magari na kutaja dau lako. Ungetafuta mtaalam unaemwamini kama alivyoshauri Extrovert ili yeye ajue analenga wapi.

Hapo hata mwenye gari ambayo angeiuza kwa 3M ataipandisha hadhi ilimradi tu akutengeneze. Namaanisha hata yule mwenye gari haitembei kabisa anaweza kukuingiza king. Uwe makini.
 
Wazi kabisa yani watu watamjumlisha humo humo
 
Hali ya hewa mkuu it never works better hapa bongo! Hayo ma Honda nimeona several times yamechemsha highway za hapa bongo!
 
Huna ulijuwalo, kwenye biashara ya magari unatowa offer mteja unataka gari ya bei gani, ikiletwa gari ndio mnapatana.

Mfano Land cruiser VX zipo mpaka za million 5.
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Kama una mtu unamuamini nenda naye aikaguwe Toyota spacio itakufaa sana au IST kwa bajeti hiyo unapata.

Kama uko very serious nikupeleke tukawatongoze wahindi hapo ndio unauziwa gari huwezi kuamini, wahindi hawana mambo mengi na magari muda mwingi zimepaki wapo kwenye mishe zao.
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?

Nunua mark11 grand 2005 hutajutia, kwa bei iyo iyo unapata fasta chifu
 
Huna ulijuwalo, kwenye biashara ya magari unatowa offer mteja unataka gari ya bei gani, ikiletwa gari ndio mnapatana.

Mfano Land cruiser VX zipo mpaka za million 5.

Ni kweli sina nilijualo kwenye magari mkuu ila gari ya kwanza nimeanza kumiliki 2007. Ya kwanza nilinunua kwa mtu, ya pili Yad na hii ya sasa hivi niliagiza Japan.

Nilichomaanisha hata kama unatoa offer uwe na ABC za magari, ndio maana nikasema ahusishwe mtu anaeyajua magari vizuri.

Sijasema offer isitangazwe, ila ahusishe wataalam na ikiwezekana huyo mtaalam ndio awe mtangaza offer ikiwezekana aweke vigezo na masharti.
 
Usilogwe ukanunua magari ya wahindi ,wahindi nao ni watu .....magari mengine utasikia la muhindi ....wahindi wenyewe wabahili , Gari ni Engine wala sio namba wala inamilikiwa na nani hizo ni swaga za kishamba za madalali eti utasikia "gari ya mdada iwahi" mara mwenyr muhindi " who is muhindi by the way ???

sent from HUAWEI
 
Ona mjinga huyu, kwa uwelewa wako mdogo unadhani wahindi wana mambo mengi na magari?

Utafananisha gari Muhindi na mchaga ambaye kila msiba anaenda na gari Moshi? Hapo bado December kwenda kuhesabiwa.

Nilichogunduwa hapa JF kuna wajinga wanaodhani wanajuwa kumbe hawajui kama hawajui.

Achana na hao wahindi, mtu yeyote anayetumia gari kwenda ofisini na kupaki mpaka jioni anarudi nyumbani almost hiyo gari itakuwa kwenye good condition kama anafuata ratiba za service.

Inaonekana una chuki na wahindi lakini huwezi kuubadili ukweli huu, ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
 
Nakataa.

Hakuna mtu anatunza gari kama muhindi.

Gari inatoka Upanga kwenda Kisutu mwaka mzima. Weekend atajikongoja kwenda coco beach na familia.

Hao jamaa wanajua kutunza vyombo vya moto.

Labda umkute 1 kati ya 10 ndio hatunzi chombo chake inavyotakiwa.
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
kama upepo upo ruka na io Subaru sf manual

Huwezi kumjibu mtu bila kutoa maneno ya kashfa?
 
Ha ha ha wahindi wengine hizo gari usiku kucha zinakamuliwa mitaa ya Masaki kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…