Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Pole sana. Kuna mawili uenda mwanaume uliyeachana nae alikushusha nyota yako au kuna jambo umefanya chafu limechafua nyota yako.

Kuna njia tatu za kuinua nyota yako ili uwe na mvuto.
1. Ibada
2. Jadi
3. Meditation

Chagua moja uipambanie.
Meditation
Inakuaje hii mkuu
 
Njoo inbox tafadhali
 
JF tamu sana.
Kuna watu udenda unawatoka wakati bibie Mthangi anatavuta comoanion serious.
Bora angeweka vigezo vya mwansume anayeona ataelewana nsye vizuri.
 
Tatizo wewe ni mpare na wapare wafupi,hatutaki mademu wafupi Sasa hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bila kuja pm naka namba kakiambatana na kapicha inabaki kua kamba tu, au jamani naongea uongo
 
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano
Joined: Yesterday huna gundu PM iache wazi alafu kila anaekuja achia goli wazi, nimekupa njia ya kuondoa gundu acha malalamiko
 
Bila kuja pm naka namba kakiambatana na kapicha inabaki kua kamba tu, au jamani naongea uongo
Ukweli bila shaka, aweke picha ataje location ikawa inasapotiwa na namba mujarabu pamoja na address ya makazi anayoishi asilete usanii kwenye jumba la sanaa
 
Fanya mambo mengine mpenzi kama mapenzi hayakutaki sio wote lazima tuwe na wapenzi wengine tuwe watazamaji tu
 
Tafuta ambiere kutoka Ndungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…