Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Inatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey
Ongezaa sauti Evee, hii hali ipoo kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake sahv wanateseka kweli,wanaume tumeanza kuogopa vizinga vyenu ndo maana sahv ukiwa hauna maajabu sana wanaume wanabaki wanakuangalia tu maana wanajua wakijisogeza tu vizinga vinaanza

Kuna mdada kaingia kibanda umiza siku ya liver na arseno,muda wote alikuwa anachat hadi nikawaza kuwa huyu kaja kucheki game kweli au ndo kaja kutafuta!?
 
Na hivyo ndivyo ilivyo.
Ukiwa umeoa ukitongoza Wanawake wanakukubalia, Mkeo akikuacha mtiti wa Kupata Mwanamke mwingine inakuwa kipengele.

Hiyo ni kawaida. Acha kuwaza mambo ya kijinga.
Kuwa msafi, vaa vizuri, Rings na jishaue.

Wanaume wanapenda Wanawake wanaoringa na kujishaua kuliko wanaojirahisisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalia mdau alikotoka halafu jenga picha yake Kwanzaa. ..then nenda pm ujionee uhalisia wake...ila mrembo
 
Wasichana wadogo na bikra hawana wa kuwauliza kutokana na upungufu wa wanaume na wengi wao kuwa mashoga.Sasa wewe unajulikana umeachana na boyfriend na wala sio kuachwa na mume utapata shida sana.
Unapotumia madawa ya kuchubua na kwenda kwa waganga ndio unatibua zaidi. Hata nikikuona ni mzuri sitokuletea mchumba. Kaa ndani, fanya kazi ,subiri na muombe Mungu ndipo utafanikiwa.
 
Acha na ayo madaw yanazidisha gudu oga maji y mwamposa utakuj kunishukur bdae
 
Eti wanasema wewe ni huyu kijeba sio mwanamke 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…