cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ongezaa sauti Evee, hii hali ipoo kweli.Inatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]