Mkuu nina watoto,wangu nilishawaelekeza na wanajua kinachoendelea juu ya huyu kijana wangu mpendwa!!Pale nyumbani sidhani,maana wa kike nilienae bado ni mdogo
WEWE UMERUKA STAGE MOJA......... UMEMNYANYAPAAUna watoto?,usalama wao upo vipi?.kwa kitu cha msingi Kama hicho ulichomwambia kwa huo umri wake alipaswa kukuelewa,kuwa mwangalifu wema wako unaweza kuujutia...
AISEE HUYU HATA AKIRUDISHWEA KIJIJINI ATAENDA KUUA WANAKIJIJI WENZIE ...Bora ungekaa kimya tu
mrudishe tu kwao mkuu hali mbayaMkuu nina watoto,wangu nilishawaelekeza na wanajua kinachoendelea juu ya huyu kijana wangu mpendwa!!Pale nyumbani sidhani,maana wa kike nilienae bado ni mdogo
Nimekuelewa madam LadyAJ
Nilianza kwa pale wanapochukulia dawa.Hao ndio walishauri kuwa wanaweza kumtafutia binti aliyeathirika na anatumia dozi,wakawakutanisha na kuwashauri washirikiane ili wasiende kwa watu wengine
Changamoto ni kuwa,je watapendana au kukubaliana kama ambavyo wangekuwa na wale waliowatafuta wenyewe?Maana si unajua kipenda roho?
Nitazingatia ushauri wako na hiyo tahadhari
Huyo huyo mtoto mdogo uliyenaye ataweza kusababisha madhara kwake. Nadhani pia ni vizuri ukaenda naye kwa huyo doctor uliyesema ili nayeye ampe ushauri na pia kama ni kumtafutia basi wamtafutie kuliko kuendelea kueneza huko mtaani maana huwezi jua labda anakula sahani moja na hao wanao wa kiumeMkuu nina watoto,wangu nilishawaelekeza na wanajua kinachoendelea juu ya huyu kijana wangu mpendwa!!Pale nyumbani sidhani,maana wa kike nilienae bado ni mdogo
Aisee,unatia huruma,mimi sina nyumba mjini,,,mimi aseee pole sana.Kama unabisha twende pm ,nikulete kwangu ukae kwa siku utakazo taka kila kitu kwangu ili uyakane maneno yako aseee.Watu msiokua na Nyumba mjini mnashida sana! Mnadhani kila muda mnasemwa nyie tu, nini kono kono hata Kobe ananyumba sembuse wewe unayelala stoo chumba hicho hicho jiko hilo hilo-sebule huyo hiyo, ndo maana mnashindwa hata kuwaleta wazazi wenu wakanyage barabara za lami maana mnawaza watalala wapi! Badala ya kupoteza Muda kujibu ushauri wanaotoa wenzio, ingekua vyema wewe ukampa ushauri wako unaofaa
Ukiona hivyo mkuu ujue limempata,,hajui anachoongea.Tusifike huko Madam...Turudi kwenye mada
Wajinga utawajua tu! Hahahaa Jadili mada wewe kujitangaza huko vipiii acha ulimbuken alafu utakuta wewe ni mwanaume sasa!! Kha?? Kweli Tanzania kwa sasa tuna uhaba wa wanaume wenye akili za kiumeAisee,unatia huruma,mimi sina nyumba mjini,,,mimi aseee pole sana.Kama unabisha twende pm ,nikulete kwangu ukae kwa siku utakazo taka kila kitu kwangu ili uyakane maneno yako aseee.
Nani asiyejua anachoongea? Mkuu wewe una akili za hovyo sana, umekuja umekuta mimi nimempa ushauri jamaa, mlengwa ameupokea na kuahidi kuufanyia kazi ila wewe kilukanjia umeona usipite hivi hivi bila kufanya ulichofanya, hebu usinipotezee Muda Zee zima lina mambo ya kitoto [emoji19] [emoji19] hovyooUkiona hivyo mkuu ujue limempata,,hajui anachoongea.
hah usihangaike mkuuAisee,unatia huruma,mimi sina nyumba mjini,,,mimi aseee pole sana.Kama unabisha twende pm ,nikulete kwangu ukae kwa siku utakazo taka kila kitu kwangu ili uyakane maneno yako aseee.
Rudi darasani ukaondoe ujinga kwanzaAisee,unatia huruma,mimi sina nyumba mjini,,,mimi aseee pole sana.Kama unabisha twende pm ,nikulete kwangu ukae kwa siku utakazo taka kila kitu kwangu ili uyakane maneno yako aseee.
Aisee,unatia huruma,mimi sina nyumba mjini,,,mimi aseee pole sana.Kama unabisha twende pm ,nikulete kwangu ukae kwa siku utakazo taka kila kitu kwangu ili uyakane maneno yako aseee.
Leo umepatikana kweli,,,wewe si ndo ulianzisha utumbo,ulitaka nisikujibu siyo! Hapa huchomoki,,taja elimu yako na mimi nitaje yangu na tuambatanishe na vyeti kama hujaomba pooo.Mtu mzima hovyoo.Kachambe kwanza mwehu wee,nyie ndo mnaoneshaonesha matako mtafikiri kila mwanamme anapenda huo uchafu.Utakuwa wa Mbeya weweee.Wajinga utawajua tu! Hahahaa Jadili mada wewe kujitangaza huko vipiii acha ulimbuken alafu utakuta wewe ni mwanaume sasa!! Kha?? Kweli Tanzania kwa sasa tuna uhaba wa wanaume wenye akili za kiume
Kiluka njia ndo nini sasa wee changudoa? Unatafuta bwana eeeee.Nani asiyejua anachoongea? Mkuu wewe una akili za hovyo sana, umekuja umekuta mimi nimempa ushauri jamaa, mlengwa ameupokea na kuahidi kuufanyia kazi ila wewe kilukanjia umeona usipite hivi hivi bila kufanya ulichofanya, hebu usinipotezee Muda Zee zima lina mambo ya kitoto [emoji19] [emoji19] hovyoo
Weee kidampa unanijua mimi? Kalale kama huna bwana ,jichue wewe ,umechinaNani asiyejua anachoongea? Mkuu wewe una akili za hovyo sana, umekuja umekuta mimi nimempa ushauri jamaa, mlengwa ameupokea na kuahidi kuufanyia kazi ila wewe kilukanjia umeona usipite hivi hivi bila kufanya ulichofanya, hebu usinipotezee Muda Zee zima lina mambo ya kitoto [emoji19] [emoji19] hovyoo