Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nouma sana MkuuHuu uzi wa pili wa singo mama nauona kwa usiku huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nouma sana MkuuHuu uzi wa pili wa singo mama nauona kwa usiku huu
........hapo inategemea moyo na utashi wako vinakwambia nini.......hakuna kitu kigumu kushauri kama mapenzi, washauri wengi waliumbuka badae.......mamaako, mke wako na wewe mwenyewe vyote ni muhimu na vina nafasi yao ktk maisha......Kwa mama umeshatoka, utaungana na mke, Sasa kama lengo la kuoa ni kujifurahisha wewe au kumfurahisha mamaako mi sijui.....lakini pia ni kweli mwanamke aliezaa technically by tangible evidence(mtoto) ni mke wa mtu provided that the man is alive and existing.......Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Mimi nimeuliza swali simple tu, sioni kama linahusiana na ulichokiandika!Watu wanaoa mabikra na wanazalishwa na wahuni,acheni hizo mambo bwana
AiseeMimi nimeuliza swali simple tu, sioni kama linahusiana na ulichokiandika!
Na wao siku hizi wanatafuta single father yaan nilistaajabu single mother mmoja ananiambia mimi km wewe sio single father Mambo yasiwe mengi tusiendelee na huu mchakato, kwa hio wanajijua single mother tafuta single father kuishi pamoja kila mtu anakua na handicap tayari huyu 1-0 na huyu 3-0 mkiunganisha inasoma 3-1 saafi kabisaHivi wewe ungekuwa mzazi ungelikubali mwanao kuoa mwanamke ambaye tayari ana watoto wakati nwanao hana hata mmoja? Hebu jaribu kuvaa viatu vya mzazi wako kwanza!
Huwa mnajidanganya sana kuwa mapenzi hayaingiliwi lakini mnasahau kuwa kuna siku utampeleka huyo mtu wako kwa mzazi wako na yeye ndio atahamua hatima ya safari yako na huyo mwenzio
Mama anataka Memory Card iwe mpya kwenye maganda yake au sio? 😂Jamani mama hataki memory card yenye nyimbo 🙌
Moyo na akili zako zitaamua
Fuata moyo wako.Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Single maza wenyewe hawataki watoto wao waoe single maza 😄😄Hivi jamii inawachukuliaje single maza?
[emoji23][emoji23][emoji23] sababu ya kusema hivyo?Yani humu watoto wa kiume wengi kuliko wanaume kazi kweli kweli.
Wee acha uphaler, mechi inatakiwa anza 0-0 not 1-0.Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Usimdaganye.Chief
Kama unaamini kabisa na nafsi inakwambia huyo ndio chagua lako,nakushauri jitwishe huo mzigo chap.
Khs mtoto usiseme kwasasa hlf huko mbeleni unatengeneza story kwamba kumbe wife alikuwa na mtoto Ila aliogopa kuniambia kwa kuhofia nisinge funga nae ndoa,hapo ishu imeisha.
Kumbuka mwisho wa siku ni mke wako na wewe ndo utawajibika Kwa maamuzi yako.
"Handcap" mzee wa kubeti🤣🤣Na wao siku hizi wanatafuta single father yaan nilistaajabu single mother mmoja ananiambia mimi km wewe sio single father Mambo yasiwe mengi tusiendelee na huu mchakato, kwa hio wanajijua single mother tafuta single father kuishi pamoja kila mtu anakua na handicap tayari huyu 1-0 na huyu 3-0 mkiunganisha inasoma 3-1 saafi kabisa