Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

K imeshatanuliwa na mtoto wa mtu mwingine, we unadhani kupitisha kichwa cha mtoto tn siyo wako kule chini unadhan mchezo! na wew unataka ukapite hapo hapo, tafuta mwingine utaeanza nae moja
Unamuharibia mwenzio[emoji3][emoji3][emoji3] Wanawake na nyie hamtaki tuoe single mazaaa
 
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.

Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.

katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.

kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!

Ahsanteni.
Single mother tena!

Joseph mwenyewe alitaka kumuacha maria kwa siri hakutaka kuoa single mother, hadi malaika akaingilia kati.

Kila la heri mkuu
 
Comment zinaonyesha waziwazi.
Ninachoona ni vijana wametoa preferences zao kwamtu wamtakae, kama nyinyi mnavyotoa preferences kuwa mwanaume yupi unamtaka. Sasa sijajua utoto wao upo wapi hasa😂😂😂. Kwanini mapendekezo yao muyachukulie ya kitoto wakati ni maisha yao😂😂😂. Je, nanyi mpo tayari kupangiwa au utaitwa unyanyasaji wa kijinsia😂😂😂
 
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.

Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.

katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.

kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!

Ahsanteni.
Dakika ya 17 kashapigwa bao!!? hamna timu, hamna beki, hamna kipa hapo. Achana nae utajuta.
 
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.

Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.

katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.

kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!

Ahsanteni.
Unamuolea mzazi wako au unaoa ili awe mke wako!? Akili za mitoto ya kizazi cha K VANT
 
Ninachoona ni vijana wametoa preferences zao kwamtu wamtakae, kama nyinyi mnavyotoa preferences kuwa mwanaume yupi unamtaka. Sasa sijajua utoto wao upo wapi hasa😂😂😂. Kwanini mapendekezo yao muyachukulie ya kitoto wakati ni maisha yao😂😂😂. Je, nanyi mpo tayari kupangiwa au utaitwa unyanyasaji wa kijinsia😂😂😂
Kumbe na ww ni mmja wao🙆
 
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.

Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.

katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.

kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!

Ahsanteni.

Mshukuru sana mzee! Usioe mwanamke mwenye mtoto kama wewe huna mtoto ipo siku! Kitumbua kitaisha radha akili zitalejea uanze kulalamika ulikosea kuoa, hapo demu bado anakusumbua, anyway mpinge babayako ukaisome
 
Shamba lenye mgogoro kwanini ulitake mashamba yapo mengi katafute jingine. Na swala la kusema hawasiliani na baba wa mtoto ni jambo la muda tu baba mtoto akija kumuona mwanae na saa hio umeoa ww utapata tabu sana na wanawake wanaozaa wakiwa na 17 hawanaga misimamo hakawii kurudi kwa baba wa mtoto wake hujui moment walizopitia mpka wakazaa ww jikute mjuaji wa mapenzi ukalie maana naona huna moyo wa kiume ww
 
Unanikumbusha Kuna binamu yangu alitaka kuoa mke ambae alikuwa girl friend WA mtu flani hapo hapo kijijini.

Ila mama yake na binamu yangu aliweka ngumu kabisa kuwa hakuna kumuoa huyo mtu hata kwa dawa.

Basi vikao vilikuwa haviishi watu kumuomba amuache aoe

Ila alikataa kabisa na kususia hizo process za harusi kabisa.

Ila jamaa kumbe alikuwa ashajaza kibend ndio pona yake ikabidi akubali kishingo upande.
 
Kumbe na ww ni mmja wao🙆
Sio mmoja wao, ila tumia busara kuheshimu maamuzi ya mtu. Kama hakitaki kitu, wewe utamfanyaje😂😂😂. Ndio uanze kumtukana😂😂😂, utakuwa unataka upendeleo na udikteta. Ishi wewe kama wewe na muache yeye aishi kama yeye😂😂.
 
Kumbe 🤨
 
Back
Top Bottom