Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

Mi nimekuwa na balaa na masingo maza mara mwingine aniambie hata baba yake ananikubali( kwa lipi?).Mwingine nafana vidole na mtoto wake.Yataka moyo kweli.Kama umempenda jilipue.
 
........hapo inategemea moyo na utashi wako vinakwambia nini.......hakuna kitu kigumu kushauri kama mapenzi, washauri wengi waliumbuka badae.......mamaako, mke wako na wewe mwenyewe vyote ni muhimu na vina nafasi yao ktk maisha......Kwa mama umeshatoka, utaungana na mke, Sasa kama lengo la kuoa ni kujifurahisha wewe au kumfurahisha mamaako mi sijui.....lakini pia ni kweli mwanamke aliezaa technically by tangible evidence(mtoto) ni mke wa mtu provided that the man is alive and existing.......
 
Na wao siku hizi wanatafuta single father yaan nilistaajabu single mother mmoja ananiambia mimi km wewe sio single father Mambo yasiwe mengi tusiendelee na huu mchakato, kwa hio wanajijua single mother tafuta single father kuishi pamoja kila mtu anakua na handicap tayari huyu 1-0 na huyu 3-0 mkiunganisha inasoma 3-1 saafi kabisa
 
Fuata moyo wako.
 
Mamayako hajamkataa huyo mwanamke bali kakataa Hali ya wewe kuoa mwanamke maenye mtoto...ITAKUWA UJAELEWA

Yaani mfano sisi job kwetu tunataka wafanyakazi tuwe wachache sikuzote tukiaikia Boss anaongeza mfanyakazi tunasema hatumtaki ila iyo Hali ya kumkataa huishia pale huyo mfanya kazi anapokuwa tiali kaja ofisini...Hapo huwezi kukataa kwasababu ukisema Boss hatumataki tiali una mu-attack mtu Kama huyo mfanyakazi anaitwa Jay hapo Jay atakuona mnoko na kilamtu ataona aah vipi unamnyima liziki Jay ila before jay hajaja ofisini alikiwa unknown so tulikiwa hatumkatai Jay bali mtu Unknown anayekuja

Mamako anakataa mwanamke mwenye mtoto ambaye unknown ila ukimpeleka huyo moenzi wako let say anaitwa Rey hapo mamako hawezi kumkataa maana inakuwa anaonesha unoko na kwa rey ata feel aibu sijui unaelewa mpeleke lazima amkubali tu kwasababu atakuwa sio kuhusu mwanamme mwenye mtoto tena bali kuhusu Rey.
 
Wee acha uphaler, mechi inatakiwa anza 0-0 not 1-0.
Mzazi yupo sahihi kabisa. Tafuta mwanamke mwengine wamejaa tele.
Huyo kama wampenda basi wee mpige mimba tena akuzalie mtoto ili uendelee kula tunda 😜
 
Usimdaganye.
Kama bado yupo kwenye 20th years asikilize wazazi, otherwise akikaidi atapata na kuona kila rangi.

Wazazi wanajua wakifanyacho, na hawawezi kutoa maagizo yanayo mpeleka pabaya mtoto wao.
 
"Handcap" mzee wa kubeti🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…