Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

Nasikia yule wa arusha alikuwa na watoto wawili na jamaa akazaa naye wawili Sasa sijuh kwanini alikuwa na wivu wa ajabu vile!
 
Wewe unataka Mke wako akulee kama Mama yako?
 
Punguza hisia ongeza akili
 
Kuoa single mother ni kuoa mke wa mtu, mke wa mtu ni sumu hivyo single mother ni sumu na siyo vinginevyo.

Kama unataka kujiua kwa makusudi oa single mother
 
Kwani ukienda kumtambulisha ni lazima useme anamtoto?!
Mtoto hafichiki hata siku Moja! Kwanza wanawake wenye watoto wanawatumiaga wale wanaowaita wa chumba kuweka security ya mtoto wake! Hivo haraka haraka utaambiwa tumpeleke English medium! Utaambiwa atambulishwe kwenu pia huyo mtoto!

Hakuna Mwanamke atakuwa na Mahusiano na wewe alafu akukubalie mfiche Kama Ana mototo


Britanicca
 
Lakini ni sawa. Hivi kweli unawezaje kumtenganisha Mtoto wake na Mama yake?

Kisa mahusiano na ndoa mpya? Amkane mwanaye amfiche?

Tunaonge kirahisi sisi wanaume lakini ni jambo gumu
 
Achana na single mother wewe. Wao wenyewe wanajijua kuwa ni vimeo
 
Kusikia kwa kenge ni mpaka atoke damu masikioni.
Kila siku humu wanalalama kuhusu singo maza, huko chuga jamaa katoboa mtu jicho kisa ni mambo yanayoshabihiana na hayo.

Lakini bado Zingzingzing anataka kurudia kosa lilelile, mna nini humo kichwani aisee, kamasi au.??

Huyo mtoto anatumia ubini wa nani?? Kama ni wa baba yake mzazi basi jua penzi lako liko matatani kijana.
 
Kwa nini unataka amdanganye mzazi wake? Kama,maamuzi ni yake na unamchochea asisikilize mzazi basi na awe na ujasiri wa kuwaambia ukweli. Akifikia hatua ya kudanganya maana yake amekwisha jihukumu kuwa sio sahihi kuwa na huyo mwanamke.
 
Kwa nini unataka amdanganye mzazi wake? Kama,maamuzi ni yake na unamchochea asisikilize mzazi basi na awe na ujasiri wa kuwaambia ukweli. Akifikia hatua ya kudanganya maana yake amekwisha jihukumu kuwa sio sahihi kuwa na huyo mwanamke.
Sahh
 
Sngle maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…