welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Nasikia yule wa arusha alikuwa na watoto wawili na jamaa akazaa naye wawili Sasa sijuh kwanini alikuwa na wivu wa ajabu vile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unataka Mke wako akulee kama Mama yako?So humuamini mzazi ama kisa elimu ya kikoloni unajiona mzazi wako hamnazo.yaani tungekuwa tunasikiliza wazazi wakati wa kuoa nadhani tusingekuwa tunasumbuka.
Binafsi nilifuata wazazi sijutii smt mie ndiye naumia kuwa namsumbuaga mke wangu. Elimu pembeni. Kuna swali nilikuwa nikijiuliza hivi nimelala ninaumwa najisaidia kwa beseni ataweza kweli kunilea Kama mama yangu wa utotoni ama aliyenizaa. Huyo ndio mke wako.
Aisee huyu tumwambie au tumuache kwanza?
Punguza hisia ongeza akiliIngawa mapenzi ni yako lakini amini kuwa wazazi na ndugu zako wa karibu bado wana nafas kwenye familia yako.
Wazazi wanaonaga mbali, huwezi gundua hasa unapokuwa “in love” until ikutokee.
In this generation, kwenye mapenzi punguza hisia ongeza akili.
Mtoto hafichiki hata siku Moja! Kwanza wanawake wenye watoto wanawatumiaga wale wanaowaita wa chumba kuweka security ya mtoto wake! Hivo haraka haraka utaambiwa tumpeleke English medium! Utaambiwa atambulishwe kwenu pia huyo mtoto!Kwani ukienda kumtambulisha ni lazima useme anamtoto?!
Mtoto sio pumbu kwamba utamficha.Nakazia hapo
Lakini ni sawa. Hivi kweli unawezaje kumtenganisha Mtoto wake na Mama yake?Mtoto hafichiki hata siku Moja! Kwanza wanawake wenye watoto wanawatumiaga wale wanaowaita wa chumba kuweka security ya mtoto wake! Hivo haraka haraka utaambiwa tumpeleke English medium! Utaambiwa atambulishwe kwenu pia huyo mtoto!
Hakuna Mwanamke atakuwa na Mahusiano na wewe alafu akukubalie mfiche Kama Ana mototo
Britanicca
Wewe ndio umeongea pointiSema ni wa kwako
Achana na single mother wewe. Wao wenyewe wanajijua kuwa ni vimeoHabari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Kwa nini unataka amdanganye mzazi wake? Kama,maamuzi ni yake na unamchochea asisikilize mzazi basi na awe na ujasiri wa kuwaambia ukweli. Akifikia hatua ya kudanganya maana yake amekwisha jihukumu kuwa sio sahihi kuwa na huyo mwanamke.Chief
Kama unaamini kabisa na nafsi inakwambia huyo ndio chagua lako,nakushauri jitwishe huo mzigo chap.
Khs mtoto usiseme kwasasa hlf huko mbeleni unatengeneza story kwamba kumbe wife alikuwa na mtoto Ila aliogopa kuniambia kwa kuhofia nisinge funga nae ndoa,hapo ishu imeisha.
Kumbuka mwisho wa siku ni mke wako na wewe ndo utawajibika Kwa maamuzi yako.
SahhKwa nini unataka amdanganye mzazi wake? Kama,maamuzi ni yake na unamchochea asisikilize mzazi basi na awe na ujasiri wa kuwaambia ukweli. Akifikia hatua ya kudanganya maana yake amekwisha jihukumu kuwa sio sahihi kuwa na huyo mwanamke.
Sngle mazaHabari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
WamefanyajeSngle maza