Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas?
Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishirini?
Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
bila Shaka haya Ni maoni yako sio ya jajiA shahidi ambaye alisubiriwa kwa hamu kubwa ili kuujua ukweli ni huyu Lut Denis Urio. Sasa Shahidi wake wote mpaka sasa unathibitisha kuwa hakuna mahali popote Mbowe na walinzi wake walipanga ugaidi. Hakuna picha, hakuna video, hakuna voice notes na hakuna hata sms kuthibitisha kuwa kweli walikutana na Mbowe kupanga ugaidi.
Amekiri kwa kinywa chake kuwa aliwatafuta wale makomandoo waliofukuzwa kazi wakafanye kazi ya Ulinzi na siyo uhalifu na kuwaomba kuwa kukiwa na uhalifu wamwambie kitu ambacho hakikutokea, amethibitisha kuwa walitumiwa nauli kwenda kufanya ulinzi na siyo uhalifu, akasema kua angewaambia kua wanaenda kufanya uhalifu wangekataa kwa sababu wana viapo, maana yake walipofika kwa Mbowe wakaacha viapo vyao wakakubali kufanya uhalifu bila kumjuza[emoji1787][emoji1787].
Kwa maana hiyo mpaka sasa kina Adamoo na wenzake ni innocent maana hawakufanya uhalifu na wangekataa ikiwa kungekuwa na uhalifu, maana hata Lut Urio amekiri kwa mdomo wake kuwa wasingekuwa tayari kufanya uhalifu kwa sababu ya viapo vyao. Iweje leo waitwe magaidi? Asante sana Lut Urio imerahisisha kazi.
Hivi kweli DCI na timu yake wameambiwa kuna mipango ya ugaidi badala ya kumtuma Urio amrekodi Mbowe akimpa maelekezo ya kutekeleza ugaidi au ampige hata picha basi, yaani hadi wamtume akawashawishi kina Adamoo waende kwa Mbowe akiwadanganya ni ni kazi ya ulinzi kumbe ni ugaidi? Sasa kwa mantiki hii Polisi walizuia uhalifu au walichochea? Walishindwa nini kumkamata Mbowe kabla hata ya makomandoo hao kwenda Moshi?
Nasema asante sana Lut Urio kwa kuwasafisha Mbowe na wenzake. Sasa tumepata uelekeo wa kesi.
Eti Mama aombwe msamaha Gaidi Mbowe asamehewe, kwa lipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafki wa ACT Wazalendo wabaki nao majumbani mwao.CHADEMA si wanafki kama wao. Siyo waoga kama ACT.
Umemjibu vizuri sana; ukweli hi nchi ina watu wana uelewa wa chini sana hadi aibu; imagine mtu mwenye uwezo wa kutumia computer ameuliza maswali ambayo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuuliza swali la KIJINGA kama hilo. Tatizo elimu yetu imetufanya tushindwe kufikiri na kuamua kukariri tu au UJINGA unaongezeka miongoni mwetu?? I am still thinking about it.Mabaunsa unazani diamond huyo? Je wanaweza kuzuia au kupambana kwa kutumia silaha za Moto Kama zile zilizomkuta lisu. Je hujifunza kutumia silaha?
Baunsa ilikuwa sawa kabla ya lisu
Mijitu iko bize na ligi za mipira tu unategemea nini?Umemjibu vizuri sana; ukweli hi nchi ina watu wana uelewa wa chini sana hadi aibu; imagine mtu mwenye uwezo wa kutumia computer ameuliza maswali ambayo hata mtoto wa darasa la saba hawezi kuuliza swali la KIJINGA kama hilo. Tatizo elimu yetu imetufanya tushindwe kufikiri na kuamua kukariri tu au UJINGA unaongezeka miongoni mwetu?? I am still thinking about it.
halafu mbaya Zaid unakuta kakuzidi maishaMijitu iko bize na ligi za mipira tu unategemea nini?
Ni stories za matukio tu asubuhi hadi jioni...huyo mtu lazima awe mjinga kupitiliza
According to you. Boss wao mpya (FM) probably aliwapa maelekezo.Kama hao makomandoo hawakumrudia Urio maana yake kulikuwa hakuna uhalifu.. maana bado wapo chini ya kiapo cha utii
According to Urio...na Urio anasema wale ni askari na wana viapo, na walimuambia nchi kwanza kabla ya maslahi binafsi. Inaonekana hata hayo mahojiano hukuyasomaAccording to you. Boss wao mpya (FM) probably aliwapa maelekezo.
Wewe ndiye hukusoma ama hukuelewa. Alisema pia: ^Kazi kwa bosi (FM) imebadilika, tofauti na ile uliyotuambia!^According to Urio...na Urio anasema wale ni askari na wana viapo, na walimuambia nchi kwanza kabla ya maslahi binafsi. Inaonekana hata hayo mahojiano hukuyasoma
Kwahiyo ilivyobadilika walimwambia wameambiwa wafanye nini?Wewe ndiye hukusoma ama hukuelewa. Alisema pia: ^Kazi kwa bosi (FM) imebadilika, tofauti na ile uliyotuambia!^
Meaning?
Hiyo meaning unataka kuitengeneza wewe hatuishi kwa hisia Bali uhalisia na lazima uthibitishe bila chembe ya shakaWewe ndiye hukusoma ama hukuelewa. Alisema pia: ^Kazi kwa bosi (FM) imebadilika, tofauti na ile uliyotuambia!^
Meaning?
PHomeboy Urio katika ushahidi kakiri pesa zilizotumwa kwake zilikuwa ni nauli ili kufanikisha watu wanne wakapate kazi ya upambe/ulinzi...
Nyuma kidogo, kutoka mashahidi wale waliokuwa na simu, waliweka bayana kuwa hakuna mahali katika maandishi yaliyokaguliwa kama kulionesha kiashiria cha ugaidi...
Kumekucha
USifurahie ujinga. Mimi ccm lkn nimeshangazwa na ujinga uliozungumzwa janaMaCHADEMA jipangeni kisaikolojia mnaenda kulia kama kwa Aqwilina
Inasikitisha. Yaani makomandoo wanakamatwa na kusoteshwa kama vibaka! Yaani ili Kumfix Mbowe tu inabidi hadi jeshi lidhalilishwe na polisi! Polisi wenyewe hawa wa modeli ya wale wa Mtwara. Hiyo ni gharama iliyopitiliza. Ni bora itafutwe “bei” ya Mbowe anunuliwe kabisa. Iliwezekana kwa Slaa; bila shaka dau la Mbowe linaweza fikiwa tukapata ahueni! Ni sisi ndio tunaona aibu kwa haya mambo.Tanzania kuna kazi sana, hao makomandoo wamehisiwa kufanya uhalifu na wamekaa ndani hadi leo, kaa hisia tu!