Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

Nje ya Topic kidogo..., Kuna mdau alikuwa anapenda sana kupiga vyenga ila mara nyingi akawa anapiga vyenga na kujikuta anajipiga mwenyewe na kupoteza mpira...

Back to the Topic..., Wanadamu huwa tunawapa credit za bure kudhani they are that intelligent, ukweli ni kwamba mara nyingi the simplest explanation is always right..., Na hii minyukano haipo Africa tu wala Chadema peke yake bali dunia nzima. Kwenye rupia back stabbing, kuchukiana na kutofautiana huwa ni order of the day..., hata enzi za kina Margaret Thatcher huko UK haya yalimkuta... Politics hazina rafiki wala adui wa kudumu bali kuna watu wenye common interests at any given time....
 
Hamna kitu kama hicho mkuu. Umeathirika na conspiracy theories... hawako pamoja kabisa. Hapo ni kwamba Mbowe anang'ang'ania uenyekiti ili iwe rahisi kumpokea mtu kupokea upande wa pili, akiwa na fungu la kutosha kama ilivyotokeA kwa Lowassa. Anajua TAL hawezi fanya hivyo. Na ikishindikanA agombee yeye urais, ili aendelee kukikamua chama kifedha ...
 
Kwa namna siri za aibu zinavyotolewa taratibu Na TAL kwa namna ya mwendo wa madaha umakini na utulivu mno kama wa Ngamia aliyembeba malkia wa Sheba kuelekea kwa Mfalme Suleiman..
Unaamini ni Maigizo?
TL ni wakili
MKOSA AKAMFANYA MSAFI

NA MSAFI AKAMFANYA MKOSA.
anajuwa kujenga hoja .
Lakini hafai kuwa Raisi wala mwenyekiti wa chama
 
TL ni wakili
MKOSA AKAMFANYA MSAFI

NA MSAFI AKAMFANYA MKOSA.
anajuwa kujenga hoja .
Lakini hafai kuwa Raisi wala mwenyekiti wa chama
Kidemokrasia maoni yako yana nafasi ya kusomwa lakini usahihi wake tukisema upimwe kwa watakao kuunga mkono...Kisha tukisema tuite wapiga kura hapa naamini majibu yatakuwa katili sana kwa upande wako
 
Hamna kitu kama hicho mkuu. Umeathirika na conspiracy theories... hawako pamoja kabisa. Hapo ni kwamba Mbowe anang'ang'ania uenyekiti ili iwe rahisi kumpokea mtu kupokea upande wa pili, akiwa na fungu la kutosha kama ilivyotokeA kwa Lowassa. Anajua TAL hawezi fanya hivyo. Na ikishindikanA agombee yeye urais, ili aendelee kukikamua chama kifedha ...
Let's wait and see..
 
Back
Top Bottom