Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

Jamaa ana mke mbinafsi sana
 
Mkuu mbona kama umeshapiga bia 7?? πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Tafuta hela.
We unaumia na 20M aliyokopa serikalini, si na wewe ukakope benki au kwingineko ili kuwatengezea future watoto wenu?
Kumbuka, pesa zake ni zake. Pesa zako ni zenu.
Msimamo wa kijinga sana huu...
Mimi kama mwanamke nasema pesa ya baba na mama ni ya familia
Kila amount inayopatikana kipaumbele ni familia ndo wengine wanafata.
Ndoa ni taasisi.. kuna hela zinatoka tu kimya kimya,
Ila kuna kiwango kulingana na kipato cha wahusika lazima mshauriane
47M kwenye nyumba ya familia na hela inakatwa kwenye mshahara na nyumba haijaisha ni KUKOSA MAARIFA unless hiyo ni nyumba yake anazuga tu
 
Wazee hawapo? Je hao washenga huna habari nao? Vipi kuhusu wazazi wenu? Usimweke mkeo humu ni sawa na wewe kuvua nguo mbele ya mkweo wa kike. Futa hii kitu ulio weka.
 
Hela sio zako,majukumu ya familia niwewe sio mkeo , fanya hivi mtu wangu jitume sisi wanawake sio wakuwategemea
Usifundishe wanao wa kike hii tabia.
Maisha yalivyo changamoto ndo maana mabinti wanadanga kutafuta kulelewa
Na vijana hawaoi sababu majukumu ni mengi wanaishia kuzalisha single mothers

Ndoa ni ushirikiano, mara mia kuoa mama wa nyumbani kuliko mke mfanyakazi asiye na mchango kwa familia
 
Yaani mnaoana ili mje kuachana??
 


mkuuu jambo lako nilikubwa kulipo la mleta mada.
 
Kinachofuata ni kuchapiwa maana atakua hana hela nyingine zaidi ya madeni hapo ndio wale wenye hela watamchapa cze sana,my suggestion is either break hio relationship ulee watoto wako na ukiona anakaza muachie but fungua actor them wakianza shule uwapeleke
 
Nenda chumbaniw mwambie Mungu akuondolee uchungu wa fedha ulizomsomeshea!! halafu muombe akuondolee fikra za mkeo ana mshahara yaani iwe kama hujui ana kazi na mshahara hiyo itafungua milango mipya ya kipato kwako!!

Muiache ajenge na akishajenga akamaliza jiandae kwa dharau na maringo coz atakua ametimiza malengo yake,Kuna changamoto ya kuishi na mwanamke alietimiza.malengo yake baada ya kupata msaada wako coz huona kuwa chini ya mwanamme ni mzigo mzito!!

Usiwekeze fikra.kwake!

Ishi kivyako na mtazamo binafsi!!!

Ndoa Haina formula yeyote anaweza kuzingua !!
 
Ndiyo maana watu wanawashauri muoe wanawake wasio na kaz ili muwadhibiti mtakavyo....sasa wewe mwanamke anatumia pesa zake tayari unataka ziwe zako....aisee kwa manzi wa kibongo ndoa lazima ikushinde
Unafikiri ndio.ukioa wa hivyo utamkontrol!?

Atakuigizia tu muda ukifika atakuonyesha upande wa pili!!

Nakuambia siri wanawake wasomi huzitafuta ndoa kwa nguvu sana na huzipata wakishazipata ndio utashangazwa na sarakasi zao zao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…