Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye swala la pesa siyo mke wakp tu ila binadamu akipata pesa hubadalika, Why do people change when they have money?Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana kijijini. Nilikuwa f6 yeye akiwa f4 leaver. Nilimsaidia akapata chuo cha takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo nliamua kudate nae tukaoana (marriage) nikiwa nafanya kazi na yeye akiwa chuo.
Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto wazuri. Maisha yaliendelea nikiwa kazini na yeye akiwa ofisi moja masuala ya takwimu nchini.
Mambo ya ndoa yalikuwa safi sana nilii injoi ndoa labda kwa sababu ilikuwa ya kusafiria. Maana yeye mkoa mimi mkoani.
Nilifanikiwa kumuhamishia mkoani kwangu yeye na watoto. Tuliishi vizuri kwa wastani wa miaka 5. Baadae mzazi wake yaani mkwe aka experience wakati mgumu (code). Tukashauriana tumjengee kibanda. Kwa kuwa wapo watoto wakubwa wakaona washirikiane wote. Kwa kuwa wife nde mwenye kipato kizuri akakopa banki 27M lakini nyumba haijaisha.
Kero ikaanza sasa. Kila wakati anataka pesa ya ujenzi kwa mama mkwe. Kumbuka yule ni mzee ile nyumba watakuja kugombana watoto nikamwambia ujenzi hauishi siku moja. Buy time.
Majuzi alipata bingo ofisini kwao 20 Mil ni pesa ya offer ya Serikali yenye riba kidogo.
Lahaulaaa si akaipeleka yote kwenye ule ujenzi.
Wana JF wenzangu, kumbuka si kwamba sisi na watoto wetu hatuna mahitaji, hapa ada, nyumba haijaisha asilimia Mia. Why apeleke 20 kwao? Mwanamke kiumbe wa ajabu sana.
Hivi? Hajui ile nyumba hawataishi watoto wake? Hivi hajui ile nyumba watagombea vidume?
Ndani ni kuchuniana. Najuta sana kuoa mwanamke huyu.
Niko puzzled. Epuka kusomesha mchumba.
Nipo kwenye ndoa nimekuwa nikisoma tu lakini naona na mimi limenikuta.

NAONGEZEA TENA NIUNYONYAJI FIKRIA HELA YA MWANAMKE NIYAKE ILA YA MWANAUME NI YAWOTEWANAWAKE NI WABINAFSI
KATAA NDOA
NDOA NI GEREZA KWA ME
NDOA NI UPUMBAVU
NDOA NI UTAPELI
Ni kweli mkuu yeye amuache cha muhimu aombwi pesa ya ujenzi wala pesa ya kulipa deni. kingine na yeye akope pesa ajenge nyumba yake au na yeye awajengee wazazi wake nyumba.Kama anajenga kwa pesa yake ni sawa,huo mkopo atalipa yeye..wewe pesa yako jenga hiyo yako,ingekua ni mimi ningemwacha ajenge kiroho safi
Mkuu wanawake nao wana haki ya kujenga makwao kama wanaume wanavyo waboreshea wazazi wao kijijini, lakini inategemea na mira na tamaduni, mfano kwa sisi Mwanamke akishaolewa ana kuwa sehemu ya familia ya Mwanaume na kujenga au kuwajengea wazazi nyumbani kiijin ni vigumu, kwasababu mtoto wa kike hapati mirathi, mfano kwenye kugawana aridhi mtoto wakike hapati.Wewe unaGombana na mkeo kwa jambo la kijinga sana,unataka asijenge kwao!? Ishini na wake zenu kwa akili,mimi mke wangu juzi kakopa milioni 10 akaenda kukarabati nyumbani kwao ilikhali sisi tuko katika nyumba ya kupanga.
Pigia mstari neno ishini nao kwa akili.
Sasa mkuu huyo Mwanamke siku wazazi wake walifariki na mirathi ikigawanywa unazani hiyo nyumba ataimiliki yeye Mwanamke, na kama kajenga kwenye kiwanja cha familia , wazazi waki Afrika ukiwajengea nyumba kwenye maeneo yao elewa kwamba kama mpo watoto kumi kwenye mirathi mnagawana sawa, na Wazazi wetu kuandika wosia ni ngumu, wanajua wakiandika wosia utaleta chuki kwa watoto.Ndoa nyingine ni utapeli ,nakushauri mkae chini muwajengee watoto wenu ,kujenga nyumba ya ndugu sijui mzazi kma mnataka ya kifahari utaumia na usitegemee pesa ya mke.
Maisha gani kama majambazi mnaviziana..
Fanyeni muwajengee watoto wenu mapema msije kuwapa mitihani baadae waje kuwajengea nyie ,mwanamke akishajenga kwao hapo atakuletea nyodo maana kashapata pa kukaa.
Ulweso lwa mboga gani?Chilumendo cha wapi hiki
Afadhari wanawake muongee maana kuna wanaume ni wanawake hadi kuwazidi wanawakeMsimamo wa kijinga sana huu...
Mimi kama mwanamke nasema pesa ya baba na mama ni ya familia
Kila amount inayopatikana kipaumbele ni familia ndo wengine wanafata.
Ndoa ni taasisi.. kuna hela zinatoka tu kimya kimya,
Ila kuna kiwango kulingana na kipato cha wahusika lazima mshauriane
47M kwenye nyumba ya familia na hela inakatwa kwenye mshahara na nyumba haijaisha ni KUKOSA MAARIFA unless hiyo ni nyumba yake anazuga tu
Mshike vizuri tumebaki mimi yeye na wengine 7 nchi nzima🤩🤩Nikisomaga matukuo kama haya, basi hua naishia kumshukuru tu Mungu kwa kunipea huyu mke nilie nae na malezi aliyo yapata.