To Kodi ya pango inarejesha kiuhakikaKujenga ni sawana kufukia hela chini, hivi hizo tshs 25m itachukuwa muda gani kurudi?
To Kodi ya pango inarejesha kiuhakikaKujenga ni sawana kufukia hela chini, hivi hizo tshs 25m itachukuwa muda gani kurudi?
Baada ya muda gani?Broo
To Kodi ya pango inarejesha kiuhakika
Inaelekea hujui biashara ya kupangisha.Baada ya muda gani?
Fafanua hii mkuuTatizo humu watu wa nadharia wengi..nenda mgodi wa dhahabu kafanye VAT leanching (kuozesha masalio)mwaka tu una nyumba na Range rover Velar...na mtaji unabaki..
Msome tena mtoa mada then, urudi kujibuInaelekea hujui biashara ya kupangisha
Nunua Bajaj 2 milioni 6 tafuta nyumba ya kupanga na fenicha na mtoto mzuri wa kimachame au Siha.
Kila siku Bajaj unaletewa 20k
20,000 x 2 x 365=14,600,000.
Screenshot betslip moja mkuu..Twin hujapata heart attack??...mi nashinda polisi daily[emoji848]
Mimi mpaka sasa kubet ndo kunanipa faida, nadhani upepo umenielekeza huko
Hesabu nyepesi sana ikiwa kwenye maandishi 😃😃😃 nunua hizo bajaji sasa uone! Maana unafikiri itatembea barabarani bila TARURA na TRA kuweka baraka zao! Sijazungumzia kumwaga oil, filter,bush na matairi msee!Nunua Bajaj 2 milioni 6 tafuta nyumba ya kupanga na fenicha na mtoto mzuri wa kimachame au Siha.
Kila siku Bajaj unaletewa 20k
20,000 x 2 x 365=14,600,000.
Nitakutafuta tuunge mtaji twinnakazia,
akopeshe tu M10 kila mwezi ana uhakika wa faida ya milioni 2
We acha tu...hii ni biashara kichaa labda kama hela umeiiba au umeiokota[emoji848]Kujenga ni sawana kufukia hela chini, hivi hizo tshs 25m itachukuwa muda gani kurudi?
Mashamba wapi huko?Chukua milioni tano au kumi, kwa milioni kumi unapata eka 50 kwa kila eka laki mbili mbili.
Kila eka utatumia 30 au 50 kulima.
tafuta mbegu nzuri ya mihogo, uzuri wa kilimo cha mihogo mizizi ikishashika tu basi ata Kama kuna uhaba wa mvua itastahimili.
Kuvuna ukiuzia shambani kila eka haukosi milioni moja na laki tatu, apo unakua umemuuzia dalali shambani, ukiwa na soko lako faida kubwa zaidi.
Ukivuna Mara moja tu ela yako itakua imerudi, na faida kubwa umepata, Shamba ni lako kila mwaka utaendelea kulima.utanishukuru badae
n.b ukiitaji Shamba nicheki 0693786080
We bibie unafanya hio biashara ya kukopesha?Ntakutafuta tuunge mtaji twin
Hapo sawa na kutakatisha hela, lakini hela ya kuenyeka huwezi kufanya huo ufala, unajenga nyumba ya let say 80m, unapangisha 250k itachukuwa miaka 26 kurudisha hiyo hela.We acha tu...hii ni biashara kichaa labda kama hela umeiiba au umeiokota[emoji848]
Yes dear...Ila toka Stone kaingia mpaka anasepa returns imekuwa worsening....We bibie unafanya hio biashara ya kukopesha?
Laki mbili AliExpress?[emoji15][emoji15]Jaribu kuagiza, nguo au viatu kwa idadi ndogo kutoka AliExpress ambavyo sio yeboyebo kwa sehemu ulipo. Then vikifika jilipue mtaani au vyuoni kuvinadisha, game likikubali unaweza ukawa unaongeza bidhaa taratibu.
Note, usianze na mzigo wa pesa nyingi, 200k inatosha kabisa kuanzia.
Vitu vichache huwa ni nadra kupigwa kodi. Kwangu laki mbili naona inatosha kuanzia na sio kwamba unatumia yote kwa mpigo. Mfano ni hizi bidhaa, unaweza agiza vipande 5 ambapo naamini ukiongea na seller anaweza kukupa discount, then ukijumlisha na gharama ya usafiri ambayo utaangalia kama utaimudu. Mzigo ukifika una-fix bei ya mtaani.Laki mbili AliExpress?[emoji15][emoji15]
Na Kodi ya TRA?
Yaani watu walivyowasumbufu kwenye kulipa, sijui wakopeshaji wanatumia mbinu gani kupata faida..mikopo ya kukatwa juu kwa juu ndo atleast aisee.Yes dear...Ila toka Stone kaingia mpaka anasepa returns imekuwa worsening....
Watu wamechacha, seed capital yangu naona inaelekea kaburini
Jana mpaka mmoja kaniambia huku akibubujikwa machozi " wity eeh we nipeleke polisi wanifunge, kwanza hapa nilipo nataka kujiua" imagine [emoji134]
Na huyu ndo ana pesa angu ndefuu balaa