Msangi2024
Member
- Jun 5, 2024
- 17
- 17
Du wewe noma unajuwa kumkatisha tamaa inanikumbusha rafiyangu wa karibu aliniambia kama hivi,sikumsikiiza badae nilipo kutana naye ilipopita miaka 12 nimemkuta taaban anauza kuku kwenye matundu. Mbele mbele tu asikudanganye mtu. Mwambie jamaa ajichanganye na wapemba aachane na watu wa mikoani wengi wao wamevaa miwani ya mbao kufukuzia via jira Dar.. Huko USA, ndo kwa moto zaidi, labda uwe na elimu ya kiwango fulani..
. Vinginevyo utaenda kuishia jela.
Black color,, Africa ndo panamfaa zaidi.Ni rahisi zaidi ku win USA kuliko bongo.
Mhhm, sawa mkuu, ngoja tumuache akapambaneAfike kwanza kila kitu kitafunguka mkuu.
Kama upo mambele huko, mpe direction jamaa, namna ya kufika huko, ili ndoto yake itimie. π€Du wewe noma unajuwa kumkatisha tamaa inanikumbusha rafiyangu wa karibu aliniambia kama hivi,sikumsikiiza badae nilipo kutana naye ilipopita miaka 12 nimemkuta taaban anauza kuku kwenye matundu. Mbele mbele tu asikudanganye mtu. Mwambie jamaa ajichanganye na wapemba aachane na watu wa mikoani wengi wao wamevaa miwani ya mbao kufukuzia via jira Dar.
Usijali nitampa.Kama upo mambele huko, mpe direction jamaa, namna ya kufika huko, ili ndoto yake itimie. π€
Waswahili wapo negative muda,woteDu wewe noma unajuwa kumkatisha tamaa inanikumbusha rafiyangu wa karibu aliniambia kama hivi,sikumsikiiza badae nilipo kutana naye ilipopita miaka 12 nimemkuta taaban anauza kuku kwenye matundu. Mbele mbele tu asikudanganye mtu. Mwambie jamaa ajichanganye na wapemba aachane na watu wa mikoani wengi wao wamevaa miwani ya mbao kufukuzia via jira Dar.
Huyo jamaa co fm mwongo sana hata USA hajawahi kufika.Ungemfikiriaje? Ungemuombea work/visa permit au?
Sababu zipo waziKwa nini?
Huyo mswahili yupo kijichiSababu zipo wazi
Kabisa ushauliwangu kwake safari ni visa sio kuwa na mihelaWaswahili wapo negative muda,wote
Ukiwasikiliza utaumia .
Ndugu yetu anatakiwa kujuwa safari ni Visa na sio kuwa na mihela mingi,sasa connection ya visa anatakiwa kupambana.. mawazo ya kufikilia America tuu angeachana nayo nchi zote za Western Europe maisha yapo mazuri tu, ukiondowa za Eastern Europe. Kama upo mikoani toka ingia Dar jichanganye na wapemba, ndio wasafiri wenyewe hawa kwa bongo, Yale mawazo sijui wavaa kobazi vipedo uachane nayo.. kwa sasa visa za Canada zinatoka sana Bongo, ila kwenda mwenyewe itakuwa ngumu unapo omba kuna documents zitatakiwa kusapoti unachokioma,hapa ndio watoto wa mjini wanapohitajika, Dar kuna mawakala kibao wanatowa visa Kama kweli msafili na upo Dar huwezi kosa safari, ukifanikiwa hutajuta badala yake utajiona kwanini ulichelewa malipo ya nje ni kwa saa moja EU ni 15 euros kima cha chini na euros moja kwa madafu ni 3000 sasa pima mwenyewe kufukuzia vikazi Dar au kujitoa muhanga.Kama upo mambele huko, mpe direction jamaa, namna ya kufika huko, ili ndoto yake itimie. π€
Kabisa ushauliwangu kwake safari ni visa sio kuwa na mihela
Ndugu yetu anatakiwa kujuwa safari ni Visa na sio kuwa na mihela mingi,sasa connection ya visa anatakiwa kupambana.. mawazo ya kufikilia America tuu angeachana nayo nchi zote za Western Europe maisha yapo mazuri tu, ukiondowa za Eastern Europe. Kama upo mikoani toka ingia Dar jichanganye na wapemba, ndio wasafiri wenyewe hawa kwa bongo, Yale mawazo sijui wavaa kobazi vipedo uachane nayo.. kwa sasa visa za Canada zinatoka sana Bongo, ila kwenda mwenyewe itakuwa ngumu unapo omba kuna documents zitatakiwa kusapoti unachokioma,hapa ndio watoto wa mjini wanapohitajika, Dar kuna mawakala kibao wanatowa visa Kama kweli msafili na upo Dar huwezi kosa safari, ukifanikiwa hutajuta badala yake utajiona kwanini ulichelewa malipo ya nje ni kwa saa moja EU ni 15 euros kima cha chini na euros moja kwa madafu ni 3000 sasa pima mwenyewe kufukuzia vikazi Dar au kujitoa muhanga.
Kweli soon tutakuwa hapo Canada Ku-hustle.
Safi sana,Mungu akufanyie wepesi, mbele mbele kaka,wabongo wengi hawaambiani ukweli, tafuta connection za watu wakule pia wakuambie nini unatakiwa kujiandaa ukifika sio vizuri kusema hapa kila kitu, au hata wasafiri waliopo hapo Dar. Ila sio wale wa Africa kusini.Kweli soon tutakuwa hapo Canada Ku-hustle.
ππ½ππ½ππ½Safi sana,Mungu akufanyie wepesi, mbele mbele kaka,wabongo wengi hawaambiani ukweli, tafuta connection za watu wakule pia wakuambie nini unatakiwa kujiandaa ukifika sio vizuri kusema hapa kila kitu, au hata wasafiri waliopo hapo Dar. Ila sio wale wa Africa kusini.
Sababu zipo wazi
Kila la kheri aendako!
Mie nawezaa had u house maid, nifanyie connection, niko seriously.Karibu Maryland,elimu yako? Na unaweza fanya shughuli za restraunt?