Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

Naufanyia kazi ushauri wako
 
Njia ya kuwaondoa wamachinga ni kujenga viwanda vingi ili waajiriwe na wawe na uhakika wa pension wanapofikia miaka 60 na zaidi
Sasa hivi wamachinga hawana pension au akiba yeyote itakayowasaidia pale watakapokua wazee
 
Unafikiri hawo waliotangulia kuiongoza Tanzania hawakuwa na mawazo kama Yako? walipoingia TU wakajikuta mifumo iliyopo ni ngumu sana kuja na mawazo Yako binafsi.
 
Sawa ni day dreaming kwanini uteseke sababu mimi ndo niliyeonyesha nia na sio wewe
Hakuna atakayenizuia kutumiza azma yangu na ni lazima ni rais
Umeandika kinyonge sana "muhishimiwa rais"!Anyway,sikukatishi tamaa bali nakujenga katika kujiongezea ufahamu wa kujieleza,kuandika yawezekanayo,ukweli na uhalisia. Pambana.
 
Achana na nia hiyo. Tafuta ufalme wa mungu na hayo yote utapewa kwa ziada. Kumbuka maisha ya hapa duniani ni mafupi (almost 60 years) baadae unaend kupambana na hukumu ya mungu isiyopendelea. Kama uliua utaoneshwa video, kama ulizini video itakija, kama ulidhulumu video itakuja kuonesha life style yako yote
 
Ufalme wa Mungu ni pamoja na urais kumbuka daudi nayeye pia Mungu alimpa ufalme
 
Mambo ya muhimu ambayo yatafanyika kwa haraka kabla utekelezaji wa sera ya viwanda laki moja na zaidi
  • kujenga vyanzo vipya vya uzalisha umeme zaidi ya megawatt 20,000 za haraka ndani ya miaka miwili zitakua zimekamilika sababu umeme huu utakua unatumika viwandani na unatakiwa uwe rahisi na usio katika kama ulivyo sahivi
  • Baada ya megawatt 20,000 kukamilika za haraka serekali iatendelea kuwekeza kwenye kuzalisha megawatts zaidi za umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…