Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Tafuta eneo weka guest house hata room chache za kuanzia kwa uko ulpo man utakuwa unaongezea kadiri siku ziendavo. Man hiyo hainaga mlolongo ni fulu fedha. Ila codes za kazi unapaswa kuzijua
Naomba fafanua vizuri "codes za kazi"
 
Mimi ningeomba nikushauri ktk ufugaji wa Mbuzi nipo ktk huo ufugaji wa Mbuzi kwa muda mrefu, ni kweli ni mradi mzuri sana ila ningalikuomba ujaribu kwanza kupita kwetu sisi tunao fuga ili uweze kujua abc za ufugaji Mbuzi hii itakusaidia kujua pakuanzia na wapi usimamie na wapi unakwenda.

Kumbuka ni mradi unaohitaji usimamizi wa karibu na ni mradi amabao unalenwa sana na waizi kwasababu uibwaji wake ni wakirahisi sana na uuzwaji wa Mnyama mweneyewe ua nyama yake ni rahisi, kwaushauri wangu tutembelee kwanza wafugaji ndio ujuwe na ukate sahuri lakuifanya. kama upo Dodoma naomba tuwasiliane kwa ushauri zaidi. Ubarikiwe sana.
 
Si kweli, kama yuko kibiashara zaidi anaweza tumia nyumba hiyo hiyo kuchukulia mkopo atajibust tu
 
Upo Dodoma sehemu gani mkuu? Nitakucheki PM tuwasiliane nije kutembelea mradi wako kujifunza zaidi baada ya hizi sikukuu mkuu. Asante sana sana mkuu!!
 
It have happen to me ...najuta kimoyomoyo no body knew. I ate 21 Mil
Sasa unajuta nini mkuu, at least you ate the money😂😂😂
On a serious note, usijute wala nini mkuu, I am sure out of that experience ya kuila hiyo hela kuna kitu umejifunza. Consider hiyo 21m kama ada ya hayo mafunzo mkuu.
 
All the best mkuu
 
Wala sijutti najipanga kufikia Lengo kuu
Mungu atakujaalia utafikia malengo yako bila ya shaka amini weka jitihada na usiamamie malengo yako bila kuyumbishwa utafika ktk yale unayo yatarajia ktk utendaji wako daima. Barikiwa sana.
 
Production ndio kila kitu. Kwa hiyo wazo la mbuzi ni zuri. Retail haina maana yoyote. Halafu retail is highly taxed in any country kuliko production.
 
Wewe utakuwa hujui kilimo na ufugaji vizuri. Ukiwa na eneo lako peke yako, hakuna kitu kinalipa kama ufugaji. Ni menejiment tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…