Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Tafta eneo jenga nyumba zakupangisha,either chumba seble,jiko na choo au vyumba viwili seble jiko na choo.

Biashara zingine zote unaweza kupoteza ela labda uwe mwenyew bahati sana.
 
Asante sana kwa mawazo yako mkuu.
 
Asante sana mkuu kwa mawazo.
 
Asante mkuu.
 
Tafta eneo jenga nyumba zakupangisha,either chumba seble,jiko na choo au vyumba viwili seble jiko na choo.
Biashara zingine zote unaweza kupoteza ela labda uwe mwenyew bahati sana.
Asante mkuu. Hii nimeiwaza sana.... Na nafikiria kujenga style ambayo sio zile high-end ila za kawaida tuu.
 
Mkuu kuhusu hiyo ya mbuzi kwa kweli inalipa
Kuna jamaa alikuwa diaspora wa usa amerudi home Uganda kanunua eneo kubwa sana nje ya Kampala kama 70 miles

Jamaa kwa sasa yuko mbali namfuatilia sana kwenye account yao ya Instagram
Nilikuwa nahitaji mbuzi wale wakubwa wanaofika mpaka kilo 100 wanaoitwa Boer toka SA

Kwa sasa anao ndio nawafuatilia ila mpaka niende mwenyewe
Kwa sisi bado sana ufugaji kuliko wenzetu

Unaweza kujifunza kitu kwake
 
Asante sana mkuu. Nitamfuatilia huyu jamaa wa Uganda, seems yuko mbali sana aisee.
 
Mawazo ya wengi ni mazuri sana,ila kuna mtu ni kama anataka kuharibu uzi wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…