Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Mimi kabla sijakupa ushauri naomba unifafanulie kwa namna ipi wewe, kama muajiriwa, ulivyoweza kusave 63m ndani ya miezi 8 tu.
Ili uweze kusave 63m ndani yra mieži 8, ni lazima ulikuwa unasave 8m kila mwezi.
Huenda mshahara wake ni 10m
 
Nipe akaunti yake ya intagram
 
Tafuta eneo weka guest house hata room chache za kuanzia kwa uko ulpo man utakuwa unaongezea kadiri siku ziendavo. Man hiyo hainaga mlolongo ni fulu fedha. Ila codes za kazi unapaswa kuzijua

Hapa kwenye codes za kazi mkuu naomba utusaidie
 
Fanya hivyo na katika watu utakao waajiri basi ajiri na mtu aliyesomea ufugaji/ veterinarian
 
Idea namba 4 hauhitaji kuinvest hata 100 kama una financial report nzuri.

Ila kwa ushauri wangu lenga kufanya biashara ndogo ili upate uzoefu kwanza. Kwa sababu bila uzoefu pesa yote itapotea hata wazo liwe zuri kiasi gani.

Ungekuwa Dar es Salaam tungewekeza katika wazo ambalo ninalo ila changamoto ni mtaji. Linahitaji 50m kama working capital ili izalishe 125,688,990/= kwa mwaka wa kwanza.
 
Mimi huwa napata maswali mengi kichwani nikiona mawazo ya namna hii, yaani unashangaa mtu kulipwa milioni 10.!? Huwa naona mna wivu kupita kiasi, kuna binamu yangu wa mbali sana anakunja million 17 kwa mwezi.
 
Kushauriwa ni Bure kuchukua au kuacha ni maamuzi binafsi.

Biashara ya Kukodisha Vitu

TV size KUBWA

Nunua Tv size kubwa kuanzia 65inch na 75 uwe nazo hata 11

65inch inauzwa 1.9m x 4 = 7,600,000

75inch 2.8m x 6 = 16,800,000

85inch 6.5m x 1 = 6,500,000

TOTAL : 30,900,000

Bei za Kukodisha TV kwa Event

65inch 100,000 per day
75inch 150,000 per day
85inch 200,000 per day

Kwa siku 65inch zikitoka zote = 400,000

75inch = 900,000

85inch = 200,000

Total per day = 1,500,000 per day

Kumbuka TV ulitumia mtaji wa 30,900,000 kwenye ule mtaji wako utakua umebaki na 33,100,000.

Hiii utaipunguza kidogo kununulia Standa za TV zako ambazo

Stand 1 ina cost 350,000 x 11 = 3,850,000

kwenye 33,100,000 - 3,850,000 = 29,250,000

Kuna Nyaya za kununua extension na vikorokoro vingine weka 1.25m utabaki na 28m.

Usafiri,na hidden cost ambazo hatujaweka Weka 1m.

Mfukoni utabaki na 27m (huu ni mtaji wa biashara ingine)

Kwahyo kwa biashara yako hiyo ya TV una uwezo wa kupiga pesa zaidi ya 10m kwa mwezi.

TV zitakua busy Alhamis,ijumaa,jmos na Jpli siku 4 ambapo kwa siku 4 utakusanya 6m.

ukipiga 6m kwa wiki 4 upate mwezi = 24,000,000 income ya mwezi mmoja.

Kwa miezi yako 6 tu,income utayokua umeipata Calculate mwenyewe.

Hii ninBiashara 1 unaipga huku huna stress umejificha zako ndani unaendelea kula Korosho unazitupia mdomoni moja moja tu. (watu wanaendelea kukuita muuza madawa ya kulevya)

Hii Clip Hapa chini ni 1 ya kati ya zile zinazoendelea kupiga kazi niliyoiongeza...

Your browser is not able to display this video.

Nakuja na idea nyingine ya ile hela ilobaki, ngoja niangalie kati ya ninazofanya ipi itakufaaa..
 
View attachment 2456518

Nakuja na idea nyingine ya ile hela ilobaki, ngoja niangalie kati ya ninazofanya ipi itakufaaa..
 
Asante sana mkuu kwa huu uchambuzi ulioshiba.
Kwa hiyo hizi unakua unakodishia watu ambao wanapiga events kama ma MC, wapambaji, event planners, si ndio? Na unachukua goli (frame) maeneo ya mjini ndo inakua kama base waru waone huduma na pia kujitangaza. Si ndio?
 
Mimi huwa napata maswali mengi kichwani nikiona mawazo ya namna hii, yaani unashangaa mtu kulipwa milioni 10.!? Huwa naona mna wivu kupita kiasi, kuna binamu yangu wa mbali sana anakunja million 17 kwa mwezi.

Kuna comments kama ya huyu uliem quote huwa naziona then naamua kuzipotezea tu mkuu. Wangejua bongo hii hii hata katika watu wanaolipwa hela nyingi sipo, pamoja na kulipwa 14+ per month. Kuna watu wanakunja mara mbili ya hiyo.

Umasikini ni mbaya sana, ndo chanzo cha wivu na frustrations za hivi, kwa hiyo mimi huwa naelewa sana watu wa namna hii.

Mimi nimeweka nidhamu kubwa sana pia katika ku save. Na save 2/3 ya net income yangu, I live a very simple life.

Kitu kikubwa kinachoniumiza kichwa ni namna ya kuizalisha hiyo pesa, kama nilivyosema awali sijawahi fanya biashara ya kuzalisha hata 500.
 
Sio kila biashara lazima uanzishe wewe kuna biashara zengine zishaanzishwa na watu wenye uzoefu…ongea nao muandikishane muwe washirika ule maisha kulingana na asilimia zako….

Mfano hyo ya maji umesema supply ni ndogo kuliko demand…ongea nao uwe mshirika….

KAMA HUNA UZOEFU KWENYE BIASHARA,INGIA USHIRIKA WENYE UZOEFU WAFANYE…
 
Haina haja ya Frem mkuu,wanaokupa kazi ni event planners,Mc,Dj's.. Tv weka home
 
Hii kibongo bongo ambapo uaminifu ni F, na watu wanacheza sana na vitabu vya biashara anaweza akawa anaripoti TRA kila mwaka hasara wakati in fact anatengeneza hela, naweza ishia kupata hasara na kugombana na watu juu.
 
Kuna watu wana hasira aisee humu😂😂
 
Kwa mshahara wako wekeza kwenye real estate!! Dodoma nyumba za kupanga anahama mtu saa 6 kamili then anahamia mwingine saa 6:05!! Jaribu kutafuta maeneo ya chuo haswaa ndo kuna hela!
 
Fisadi 🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…