mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Kama imani hana hawez toboa kama imani ipo anatoboa n ishu ya imani tu watu walitembea juu ya maji na wafu wakafufuka na daudi alitoka salama kwenye shimo la simba so ni imani yako tuUna uhakika hata Mwamposa akikutana na kundi la Simba mbele yake atatoboa kwa kufanya maombi?
Mkuu kidooogo umenipa mwanga ila bado sijaelewa hapo kwenye kusimama ukijiamini elezea vizuri ukisimamaje yaan umezungukwa na Simba km 10 hivi unasimama ukijiamini? Kingine unapokutana na Simba unajuaje huyu ameshiba au huyu ana njaa? Na pia nazungumzia kundi la Simba kwa hio mmoja anaweza akawa ameshiba ila wengine wana njaa unafanyaje?Hapo ni ishu ya confidence tu kama unaweza kaza moyo shusha chini kabisa hofu ili kupunguza kasi ya frequency zako.
Simba,nyoka upima kiwango chako cha hofu kupitia masafa ya mawimbi yako kama ni hatari kwao ili wakudhuru kama hatari hawana shida na wewe.
Thus watoto wachanga huwa hawadhuriki kwa sababu wao hawajui hatari kwa maana hawatoi mawimbi ya hofu.
Nje ya kusimama ukijiamini hakuna salama ingine.
Simba kama hana njaa na sio tishio kwake hana mpango na mtu.
Wanyama hatari hawataki keleleHapo kwenye tokaa unapaswa kuwa kama unakemea kama walokore?
Mkuu nashukuru unanijibu vizuri sana ila swali langu hujanijibu badoKinachosabisha wanyama kubadili tabia na kudhuru watu ni huu upumbavu wa vitalu vya uwindaji, simba kama alikoswa na risasi akiona mtu umuona adui, simba ambaye ajawahi kula mtu hawezi shambulia mtu,thus masai wanaishi na wanyama mbugani kwa sio masai hawindi nyama pori so wanakuwa sawa kwenye eco system kama friend
Kusimama kujihami ukiwatazama.Mkuu kidooogo umenipa mwanga ila bado sijaelewa hapo kwenye kusimama ukijiamini elezea vizuri ukisimamaje yaan umezungukwa na Simba km 10 hivi unasimama ukijiamini? Kingine unapokutana na Simba unajuaje huyu ameshiba au huyu ana njaa? Na pia nazungumzia kundi la Simba kwa hio mmoja anaweza akawa ameshiba ila wengine wana njaa unafanyaje?
Mkuu huwezi ukajifanya Daniel kwenye suala km hili, pia nimezungumzia wewe km wewe unaweza kutoboa au huyo Mwoposa anaweza kutoboa akikutana na kundi la Simba anaweza kuwaombea Simba wasimle nyama?Kama imani hana hawez toboa kama imani ipo anatoboa n ishu ya imani tu watu walitembea juu ya maji na wafu wakafufuka na daudi alitoka salama kwenye shimo la simba so ni imani yako tu
Ndo nakwambia kwa imani yangu naweza nishapita vikwazo vingi nikatoboa kisa maombi na mafutacya mwamposa sasa kwa mm naanini nitatoboa ww huwez toboa kwa maombiMkuu huwezi ukajifanya Daniel kwenye suala km hili, pia nimezungumzia wewe km wewe unaweza kutoboa au huyo Mwoposa anaweza kutoboa akikutana na kundi la Simba anaweza kuwaombea Simba wasimle nyama?
Hii ni hali hatari sana kisaikolojia na kimaisha. Kwa uhalisia, kukutana na simba kumi kwa pamoja bila mti au sehemu ya kujificha ni tukio nadra sana, lakini kama itatokea, mambo muhimu ya kufanya ni:Mkuu nashukuru unanijibu vizuri sana ila swali langu hujanijibu bado
Mkuu ni swali fikirishi, ndio maana nikasema ni swali fikirishi, yaan fikiri kwanza ndio utoe jibu na usitoe jibu kabla haujafikiri, sawa utawatazama wengine wanakuzunguka nyuma utawatazama kwa muda gani?Kusimama kujihami ukiwatazama.
Pia ishu yako ni jambo lisilotegemeka simba hawana kawaida ya kuja mjini Wana mipaka yao,pia kadri watu wanavyosegea kufuata mapori ndivyo wanyama uzidi kusogea ndani zaidi,hadi kuja maeneo yenye watu ni labda kuja kuvizia mifugo na tena huwa ni usiku
Uki move umekufa.Umejibu swali kwa umakini sana mkuu ila bado hujajibu hutoki kwa sababu gani?
Mkuu emu elezea tena unamaanisha ukibadirisha njia Simba anakuacha hakufaanyi kitu chochote kile?Simba anae kula binadamu lazima awe amesha wai kumla binadamu na huwa ana uliwa maana nyama ya binadamu ni tamu kwake ina chumvi chumvi
Ukikutana na simba fanya kama uja muona then change njia pole pole ukitafuta muelekeo ila kama umebeba silaha lazima ugomvi utokee hapo
Mkuu hivi umeelewa swali? Simba wengi mbele yako umekutana nao hawa hapa utawakodolea wangapi na kuwaacha wangapi? Na utawakodolea kwa muda gani? Elewa ni kundi la Simba sio Simba mmoja